Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Teh teh....just wait and see...Campbell mbona yuko njema tu aisee,utaona tu jinsi atakavomficha Messi siku hiyo🙂🙂(maana ulivoongea utadhani tayari tumepangwa na Barca)

Aah Ngosha wasema hayo kutoka kwa moyo kweli??. Nayahisi mapigo yako ya moyo yanavoenda kasi ukitajiwa jina Messi au Eto'o hta nikiwa huku ..
 
Aah Ngosha wasema hayo kutoka kwa moyo kweli??. Nayahisi mapigo yako ya moyo yanavoenda kasi ukitajiwa jina Messi au Eto'o hta nikiwa huku ..

Hahaaaaa...haya bana..Unajua Askari ukiwa vitani hutakiwi kukiri kushindwa(kukata tamaa)...Mpira tunaocheza sisi Arsenal na Barca unaendana(wote hatutmii miguvu mingi),so tukipangwa nao twaweza kuwamudu tu(kumbuka kwamba kwenye fainali hawa jamaa tuliwamudu vizuri tu sema Lehmann alitughalimu kwa kucheza faulo akalambwa red card dakika ya 18 tu ya mchezo)...Tulicheza watu 10 tu kuanzia dakika ya 18 hadi ya 90 na tulianza kuwafunga(goli la Campbell) lakini kwa vile tulikuwa pungufu walituzidi Eto'o akasawazisha dakika ya 76 na Belleti akatuua dakika ya 80 ngoma ikaisha 2-1,Barca wakawa mabingwa

So hawa jamaa tunaweza tu kuwamudu mkuu wangu(endapo tutapangwa nao),na inawezekana Gallas akawa fit hiyo tarehe 30/31 March siku ya 1st leg...We subiri tu utaona
 
Sasa ni beki gani ana kasi ya kumdhibiti messi at worst case tukipangiwa Bacelona kwenye draw ha robo fainali ijumaa.

Tunaomba wewe uje kuwa beki wetu unaonaje? Arsene akutafute kwa udi na uvumba uje kuokoa jahazi ... teh teh .....
 
....dah, haya tena, masaa mawili na usheee yajayo Quarter final draw ya Champions League itawekwa mezani.

Natamani sana tuwapate Barcelona au Inter Milan!,...😀
 
....dah, haya tena, masaa mawili na usheee yajayo Quarter final draw ya Champions League itawekwa mezani.

Natamani sana tuwapate Barcelona au Inter Milan!,...😀

Mzee sipendi kabisa tupewe Inter, jamaa wakiamua kuzuia ni noma!
 
....dah, haya tena, masaa mawili na usheee yajayo Quarter final draw ya Champions League itawekwa mezani.

Natamani sana tuwapate Barcelona au Inter Milan!,...😀
Utabili wako umetimia tumewapata Barcelona,Man u wana mtelemko
 
Yametimia huu ni wakati wa kulipiza kisasi kwa Barca-Man U wana mtelemko sana Bayern hawana jipya siku hizi na wakitoka hapo wanakutana na vibonde vya France sasa huu ni wakati wa kumtoa Barca na Inter
 
Mtoto akililia Wembe mpe

Wembe upi jama????,mbona mnawaogopa Barcelona kihivyo?,mi nawaona wa kawaida tu...Mpira unachezwa uwanjani bana na ni dakika 90,sio maneno miiiiiiiiiingi
 
Mbona mmepotea ghafla

Halafu hao Bayern Munich mnawadharau msishangae wakawatoa kamasi....maana kuna Franck Ribery,Hamit Altıntop(Mturuki mkali sana huyu),Arjen Robben(kama naona anavyomkimbiza Fredinand),Mark van Bommel ,Miroslav Klose,Philipp Lahm,Mario Gomez,Bastian Schweinsteiger...na wengine,so msidhani mmepata mteremko aisee mkaanza kuwacheka Arsenal kwa kupangwa na Barca
 
Back
Top Bottom