Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongera kwa kuwa na imani ya kuhamisha milima..

Ninachokupendea u mzuri sana wa ktuoa challenges kwa Gunners(hata kwa Porto uliongea hivihivi)....Naona unamuogopa sana Messi wewe....Mpira wa Barcas na wa Arsenal unalingana,wote twatumia akili,hatutumii miguvu kama Chelsiki na Manure...Halafu usimuunderestimate sana Sol aisee...Hata hivyo tuna matumaini kwamba William anaweza akapona kabla ya game ya kwanza ama akawepo game ya pili

NB. Ni vizuri ukawa unakuja hapa baada ya mechi na kuzsemea kauli zako hizi(maana zile za baada ya mechi ya Porto hukuzizungumzia kabisa mpaka tulipokukumbusha)...Pia uwe unatupongeza mkuu,badala aya kila siku kuwa unatupinga tuuuuuuu hata tukifanya vizuri
 
Am tight lipped oh sorry lip tighted. No, tight lipped! Yes.

Nasahihisha wachangiaji wa mwanzo kua mpira ni dakika 180 na sio 90.

Tuomben uzima, Naona hivihivi Barca akivuliwa ubingwa! Mark ma words please!
 
...Watu waajabu sana, mpira ni Sayansi wakuu, mpira ni akili! Man u kudundwa kwenu last year haina maana kila timu hapo itakwaa kisiki.....! Mpira haufuati associative au commutative property kny mahesabu......if A=B, and B=C, then A=C kwa maana kwamba kama Arsenal alifungwa na Man U na Man U alifungwa na Barca, iwe Arsenal lazima afungwe na Barca? sio hivyo wakuu........!Yes mechi itakuwa nzuri sana coz both teams play fantastic football......so tutaenjoy watching the two games kwa kweli!
 
Baelzee hao Mseminari
 
Champions League - Arsenal to face Barca in quarter-final

Arsenal will face current champions Barcelona, who beat them 2-1 in the 2006 final. The tie also means a reunion with former Arsenal great Thierry Henry, who left the Gunners for the Camp Nou in 2007.
source:uk.eurosport.yahoo.com
 
Ninachokupendea u mzuri sana wa ktuoa challenges kwa Gunners(hata kwa Porto uliongea hivihivi)....Naona unamuogopa sana Messi wewe....Mpira wa Barcas na wa Arsenal unalingana,wote twatumia akili,hatutumii miguvu kama Chelsiki na Manure...Halafu usimuunderestimate sana Sol aisee...Hata hivyo tuna matumaini kwamba William anaweza akapona kabla ya game ya kwanza ama akawepo game ya pili

NB. Ni vizuri ukawa unakuja hapa baada ya mechi na kuzsemea kauli zako hizi(maana zile za baada ya mechi ya Porto hukuzizungumzia kabisa mpaka tulipokukumbusha)...Pia uwe unatupongeza mkuu,badala aya kila siku kuwa unatupinga tuuuuuuu hata tukifanya vizuri
Sio kweli Ngosha kuwa huwa sirudi hapa kutambua maiti. Unanionea tu..

Mpira wa Arsenal ungekuwa unalingana sidhani kama vikombe vingekauka katika makabati yenu kuanzia 2005. Nways nitarejea kuelezea eficiency ya Spanish inquisition baada ya tukio la mwisho mwa mwezi huu pale Imarati.
 
Wakumuonea huruma hapa ni Thiery Henry kwa sababu this time around ni wakati wa Arsenal kuwaliza wana Barca. What an opportunity to reverse the odds. Mwaka huu Fainali itakuwa kati ya Arsenal na vobonde flani hivi, timu tunayo, uwezo tunao, sababu tunayo na nia ipo, whoever comes will meet Arsenal at its best.
 
....dah, haya tena, masaa mawili na usheee yajayo Quarter final draw ya Champions League itawekwa mezani.

Natamani sana tuwapate Barcelona au Inter Milan!,...😀

Utabili wako umetimia tumewapata Barcelona,Man u wana mtelemko

...Naaam 🙂

Mbona mmepotea ghafla

...nani kapotea wewe? tulikuwa tunajenga taifa kwanza! Hebu msome Messi mnayemuogopa nyie Manure anavyosema hapa...

Messi: Arsenal are like a South American team"...Arsenal are a team to consider because of their fantastic build-up play.

"They are like us at Barca in so many ways.
"Rather than being from London, they should be from South America. Andrei Arshavin and Cesc Fabregas are touch-players I love to watch."

...Draw ya leo nimeipokea kwa nderemo na vifijo! Finally tunakumbana tena na Barcelona tangu refa atuue siku ile kwenye fainali! BTW, hata 'Cashley' Cole hakufaa kuchezeshwa that day!...

It is 'payback' time, ...sweet revenge inanukia! Hii ndiyo game, au aina ya mpira 'suitable' kwa wachezaji na possessions na formation(s) za Arsenal kuonyesha who's superior in Europe.

Sio kwakuwa Chelski na Manure ni vibonde wa Barcelona ndio mkafikiri na Arsenal hivyo hivyo,...!
So long as refa atachezesha fair, BRING 'EM ON!!!!

Can't wait for it, Come on you Gunners...!!!!
 
Sio kweli Ngosha kuwa huwa sirudi hapa kutambua maiti. Unanionea tu..

Mpira wa Arsenal ungekuwa unalingana sidhani kama vikombe vingekauka katika makabati yenu kuanzia 2005. Nways nitarejea kuelezea eficiency ya Spanish inquisition baada ya tukio la mwisho mwa mwezi huu pale Imarati.

Tatizo lako Mpemba u mbishi sana,hebu soma huyo Lionel Messi anasemaje hapa chini

Messi: Arsenal are like a South American team"...Arsenal are a team to consider because of their fantastic build-up play.

"They are like us at Barca in so many ways.
"Rather than being from London, they should be from South America. Andrei Arshavin and Cesc Fabregas are touch-players I love to watch."
 
Sio kwakuwa Chelski na Manure ni vibonde wa Barcelona ndio mkafikiri na Arsenal hivyo hivyo,...!
Ni kinyume actually, Arsenal ni VIBONDE wa Chelsea na Manure!
So long as refa atachezesha fair, BRING 'EM ON!!!!
Duuuh! Kwa kulialia tu mmebarikiwa, unalia na refa hata kabla ya mechi??! Au ndio excuse zimeanza?!! Subiri mechi ichezwe kwanza mkuu!
 
Nasikia perfomance ya jana ya L'pool inamkosesha sana usingizi SAF, anawasiwasi mkubwa maana L'pool wanaiwania sana nafasi ya nne. Jumapili itakuwa mechi kali sana na kama L'pool wakiamua kula sahani moja na Rooney ambaye ndiye anayeibeba MANU basi lolote linaweza kutokea katika mechi hiyo.
 
Ni kinyume actually, Arsenal ni VIBONDE wa Chelsea na Manure!

Duuuh! Kwa kulialia tu mmebarikiwa, unalia na refa hata kabla ya mechi??! Au ndio excuse zimeanza?!! Subiri mechi ichezwe kwanza mkuu!

"Together we stand maaazee!" 😀

Peasant tunaomba dua zako mkubwa,
tutawalipia kisasi alichowafanya yule Iniesta.

Kombe la Champions League nalo lije London mwaka huu!
 
Hahahahaha!! Kazi kwenu ndugu yangu! Sisi Mourinho karudi darajani kututoa nishai, tusubiri tuone Henry atafanya nini Imarati. Naona watu wengi waongea kuhusu Messi, lakini tatizo kubwa litakuwa jinsi ya kucheza against Xavi na Iniesta, hizi ndio injini za Barca. Wanajua kutafuta mpira mpira wakipoteza, na wakiupata wanajua kuanzisha mashambulizi vizuri. Itabidi Arsenal wawe wazuri sana katika kukaba, lakini wakifanya makosa kama wanavyofanya wakicheza na Chelsea na Manure, kazi itanguwa ngumu zaidi maana Barca ni wazuri wa "kaunta-ataki" na wana wafungaji wazuri. Hii mechi itakuwa the battle of the midfield, Y. Toure, Xavi & Iniesta vs Song, Fabregas & Diaby/Nasri. Kumbuka tu kwamba Xavi na Iniesta ndio wanamweka bench Fabregas kwenye national team. Good luck.
 
Amo el arsenal para los individuos reales

Namaanisha "I love Arsenal for real guys"
 
Hahahahaha!! Kazi kwenu ndugu yangu! Sisi Mourinho karudi darajani kututoa nishai, tusubiri tuone Henry atafanya nini Imarati. Naona watu wengi waongea kuhusu Messi, lakini tatizo kubwa litakuwa jinsi ya kucheza against Xavi na Iniesta, hizi ndio injini za Barca. Wanajua kutafuta mpira mpira wakipoteza, na wakiupata wanajua kuanzisha mashambulizi vizuri. Itabidi Arsenal wawe wazuri sana katika kukaba, lakini wakifanya makosa kama wanavyofanya wakicheza na Chelsea na Manure, kazi itanguwa ngumu zaidi maana Barca ni wazuri wa "kaunta-ataki" na wana wafungaji wazuri. Hii mechi itakuwa the battle of the midfield, Y. Toure, Xavi & Iniesta vs Song, Fabregas & Diaby/Nasri. Kumbuka tu kwamba Xavi na Iniesta ndio wanamweka bench Fabregas kwenye national team. Good luck.

...very good analysis,...
watu wametukalia kooni tu oooh, kiama chenu, ooh mtafungwa...
Mr Wenger akija na formation nzuri, Arsenal tutapata nafasi ya kusonga mbele.

Bila Xavi na Iniesta, Barca nadra sana kupenyeza mipira kwa Messi et al,...Barcelona wanafungika, muhimu Kuepuka majeruhi, formation nzuri, na makosa yakipuuzi yakiepukwa.

I hope kila nafasi tutayoipata wachezaji wetu waweke mpira kimiani. Zile za "...la la la laaaa njeeee!" za kina Bendtner na Arshavin zinaweza tu cost vibaya sana!

Thanks Peasant! 😀
 
Hivi imeshatangazwa kama tunaanzia kwetu au kwao?
 
bring on barcelona,in order to be the champion u have to beat the best teams.so comon barca bring it on.
 
Tatizo lako Mpemba u mbishi sana,hebu soma huyo Lionel Messi anasemaje hapa chini

Messi: Arsenal are like a South American team"...Arsenal are a team to consider because of their fantastic build-up play.

"They are like us at Barca in so many ways.
"Rather than being from London, they should be from South America. Andrei Arshavin and Cesc Fabregas are touch-players I love to watch."

Ngosha ukweli kwamba hamlingani na Barca, na ndio maana wao ni mabingwa watetezi na wametwaa vikombe vyote walivyoshindana mwaka jana wakati nyie ni sufuri.

Hayo maneno ya Messi ni mbinu ya kumsifia mpinzani. Hii hutumika badala ya kumtrash mpinzani wako ili kujidefend mambo yanapoenda kombo. Vilevile hata mambo yakienda sawa unajipa ujiko kuwa mliifunga timu 'nzuri' ..as simple as that.
 
Back
Top Bottom