Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Own goaaaaaaaaal!

Mesut Ozil anafunga dakika ya 43

Anapiga mpira wa adhabu na Kevin Wimmer beki wa kushoto wa Spurs anafunga kwa kichwa!

Arsenal 1 Spurs 0
 
Arsenal lazima ashinde hii game ili aonyeshe nia ya kubeba ubingwa
 
Wanyama anamvaa Coquelin na Vertonghen anapimana ubavu na Theo Walcott.
4fe52f9b-10d7-45a4-b526-6f374a916f4b.jpg



Lakini Mwamuzi Clattenburg yupo makini kudhibiti hali hiyo.
 
Assist za Ozil hatari sana mpaka beki wa Spurs kaona ngoja ale maisha.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Spurs walianza vizuri lakini hawawezi kuhimili mashambulizi ya Arsenal na kama nilivyosema Arsenal watawakaanga Spurs pale katikati.
 
4383.jpg

Wimmer scores Arsenal’s first with an own goal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom