Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gibbs,Walcott, Cazorla and Monreal will probably miss the NL derby. Not looking good.

Tetesi nyingine ni kua wote wapo fit kwa North London Derby hapo juma pili acha tusubiri ila itakua msala kuwakosa bado nipo nafuatilia habari kamili.
 
Gibbs,Walcott, Cazorla and Monreal will probably miss the NL derby. Not looking good.

Santi will miss so as Gibbs

Nacho,Theo and Bellerin will be there after conducting late fitness test on them, but know that they are all in FULL TRAINING

Source : Arsene wenger Press conference Today
 
Santi will miss so as Gibbs

Nacho,Theo and Bellerin will be there after conducting late fitness test on them, but know that they are all in FULL TRAINING

Source : Arsene wenger Press conference Today

Issue ya Santi inanipa woga mkubwa. Isije kuwa yawe yale yale ya msimu uliopita...
 
Mwaka ambao Arsenal wanataka kushika nafasi ya kwanza kwenye group lao la Champions league ili kukwepa timu ngumu kwenye 16 bora ndio mwaka ambao Real Madrid, Bayern Munich na Juventus wanaelekea kushika nafasi ya 2 kwenye Magroup yao ili wakutane Vizuri na Arsenal.

Kweli Dunia haina usawa
 
Issue ya Santi inanipa woga mkubwa. Isije kuwa yawe yale yale ya msimu uliopita...
woga wako tu....kocha sasa ana depth ya maana ndo maana Hataki kutake RISK zisizo na msingi kabisa

Santi apunzike awe Fit 100%

by the way ifike hatua kuwe na mvadala wa Santi hasipokuwepo mambo yaende na hilo linapatikana kwa kuwapa nafasi akina Xhaka wacheze kama AMD huku Coquelin akiwa kama Displined DM mbele ya Defence

Xhaka + Elnenny+Coquelin wanapaswa kuwa Cover maana msimu ni Mrefu sana!!

mambo ya kuwa na Only single Option sio kabisa
 
1e4dc186fe40e66194a240d4cc9d8e57.jpg

Manchester ya sasa
 
31cbda50ddcbe33ae0f4774225a9bd49.jpg

We have a new Vitality Player of the Month - and it's
Mesut Ozil !
The Germany international scored the first hat-trick of his senior career in the home win against Ludogorets, and also netted against Swansea.
'Ozil has a taste to score goals now'

also laid on assists for Theo Walcott and
Olivier Giroud over the course of the month - claimed 45 per cent of the votes cast.
 
Good News!

Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Loew ameamua kumpumzisha Mesut Ozil kwa kutomchagua kwenye kikosi cha Ujerumani kitakachocheza na San Marino na Italy katika mechi za kufuzu kucheza kombe la dunia.

Hapo awali meneja wa Arsenal Arsene Wenger alisema kumpumzisha Ozil lingekuwa ni wazo la mbolea sana.

CwanCKAXcAA55QK.jpg

Hivyo basi Mesut Ozil atakuwa tayari na fesh kabisa kucheza mechi muhimu za Arsenal dhidi ya PSG na Man Utd.

What a relief!

COYGs
 
Huu ni wakati pekee ambao arsenal tunauona uelekeo wa kesho yetu tukiwa na hope mioyoni mwetu bila hofu yeyote bali shauku ya siku mpya kushuhudia vijana wanavyoadhibu na kudhiirisha kuwa hatukufanya makosa kuichagua ARSENAL
COYG
 
i pray for my team, inipatie furaha ambayo nimeikosa kwenye maisha, nmebak kujivunia ww tu, you a my first love, please go "spurs is nothing but piece of shit" in jack wilshare voice,, daah hii derby ingekua tamu kama the jack will power angekuepo on pitch,..
 
Mimi ni mpenzi wa arsenal, gemu yetu na spurs itakua ni ngumu. Na hii inaweza kutokea kama hatutomkaba ipasavyo victor wanyama. Huyu jamaa amekua akitusumbua tangu kipindi yuko so'ton.
Mungu bariki ushindi wa arsenal mechi ya kesho,
 
Kesho itabidi tuuze mikono na miguu ili tupate ushindi. Naona pensioners wanawafanyia mbaya Everton.
 
Kesho itabidi tuuze mikono na miguu ili tupate ushindi. Naona pensioners wanawafanyia mbaya Everton.

Halafu timu kama Everton zikikutana na Arsenal zinacheza "die hard" kichizi.

Leo wapo ndembendembe, 3-0 mapumziko.

Wenger kesho anataka kumuacha Xhaka na aanze na Coquelin, Elneny na Ramsey.

Anasema lazima Xhaka atakuwa target na wachezaji wa Spurs.

Tatizo la Ramsey hawezi defensive duties na kuchambulia kwa pamoja.
 
Mi Sina imani name Ramsey kabisa sijui kwanin babu anamuelewa huyu jamaa
 
Mi Sina imani name Ramsey kabisa sijui kwanin babu anamuelewa huyu jamaa

Katika wachezaji ambao Wenger anaweza kuwaruhusu kuondoka ni Ramsey, kwani kwa asili Ramsey ni namba 10 ambayo kwa sasa inachezwa na Ozil.

Hivyo Ramsey itabidi akubali kucheza kipindi cha pili, au kusubiri mtu aumie au mwakani afikirie kwenda timu ingine.
 
Tami ananiboa Sana huyu jamaa Sema kuna wakati anasaidia
 
Back
Top Bottom