Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wapigwe tu. Pwani tunasema KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA
Wapigwe tu kelele week hii hazitakuwepo ja jumatano wanakutana na man city aguero atajipigia tu hapo ndo watagundua morinyo ni garasa tu ameshajichokea
 
4b43c46237b3782708db6cf2f1d6988b.jpg



Arsenal haijawai kumaliza ligi na point 80+ tangu mwaka 2008. over 8 years.

Akizungumza katika Arsenal AGM, Meneja wa Arsenal mzee Wenger amesema premierleague title yaweza kuamuliwa kati ya pointi 82-86 msimu huu

Maneno ya babu hayo tusubiri tuone what next
 
upload_2016-10-24_23-14-23.png


upload_2016-10-24_23-14-57.png


upload_2016-10-24_23-15-16.png


AGM at The Gunners .... Ding .... ... Dong.
Wakuu wa Gunners na wote kwa ujumla, 2016 ndio hiyo inayoyoma all the best, tinachubiri HRC achukue madaraka kule USA. Wapeni pole Manure ooops khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hahaha nafichwa, yaani kama Wewe ulivyofichwa msimu uliopita nilikumiss mbaya[emoji3] [emoji3] ....... jamani Wacha1 yupo hai ?au ana ID nyingine? ......nimemmiss sanaaaaaa!!! Vicheko hakuna, BAK mwenyewe anacheka haweki wino mwekundu kama Wacha 1 [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Hujambo ....... .. ..... nilikuwepo ... Ding ... Dong!
 
View attachment 423800

View attachment 423801

View attachment 423802

AGM at The Gunners .... Ding .... ... Dong.
Wakuu wa Gunners na wote kwa ujumla, 2016 ndio hiyo inayoyoma all the best, tinachubiri HRC achukue madaraka kule USA. Wapeni pole Manure ooops khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Guesss whaaaaaat......!Wacha1 is baaaaack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama Pogback vile hii ni Wachaback kheeeeee kheeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom