Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

af0a637e-c63d-4f38-8046-5786c02198a1.jpg

So easy.

Arsenal cruise into last 8
 
Wacha 1 siku ingine usikimbie namna hiyo mkuu.

Mkuu Everlink alikuwa kakosa raha kabisa lakini nikawaahidi kukutafuta.

😀😀😀


Usijali liwalo na liwe Le Prof mkataba mwingine upo njiani, nachikia wanoko wanasononeka, kitaeleweka tu . Le Prof haendi kokote ... .. ... COYG
 
[HASHTAG]#Wachaback[/HASHTAG] Wacha1 atakuwa amekuja na kicheko kipya cha MwaNne(4).
 
Mkuu Wacha1 nimefurahi sana kukuona. Tulikumiss sana kwenye haya majukwaa yetu mwanana. everlenk na wengine walikuwa wanakuulizia. I hope you're here to stay Mkuu, karibu tena jamvini Mkuu.

Nipo kwa chati, hakuna wasi wasi. Mambo yapo shwari. Ding ..... Dong.
 
Arsenal is two players away from Winning the EPL. Anyway, at least the Quadruple is still on. I couldn't say the same thing about either Manchester United or Manchester City.
 
upload_2016-10-26_12-14-36.png

Alex Oxlade-Chamberlain nut-megs Tyler Blackett and evades Ali Al Habsi with his shot

upload_2016-10-26_12-15-41.png


Arsenal stars celebrate as they reach the EFL Cup fifth round

upload_2016-10-26_12-18-12.png


Ox na Carl baada ya mechi ... ..

upload_2016-10-26_12-18-57.png



upload_2016-10-26_12-20-11.png


Granit alikuwepo ... ... ... . na bibie .... ...
COYG .... ... .Ding ...Dong.

 
We had a comfortable win, sema madogo hawakuwa sharp, Iwobi alijion faza, Ox japo alifunga magoli mawili but bado ana papara, Niles bado ana mengi yakujifunza, Martinez was brilliant, Jenko anakuja taratibu, Paulista bado ana mistakes ndogo ndogo zisizokubalika ktk game kubwa, Gideon Zelarem huwa ananivuruga sana, dogo angeanza, Adelaide ana manjonjo yasiyokuwa na matunda, Gibbs bado yuko vizuri, Giroud niyule yule anajua kujiposition ila finishing,,,mh!, Lucas yuko vizuri but inabidi atake chances na afunge, all in all usingizi wangu haukuharibika bure...COYG
 
Mkuu Wacha1 nimefurahi sana kukuona. Tulikumiss sana kwenye haya majukwaa yetu mwanana. everlenk na wengine walikuwa wanakuulizia. I hope you're here to stay Mkuu, karibu tena jamvini Mkuu.

BAK kama kawa, lete maneno. Thanks mkuu tupo pamoja, I'm here to stay but as you know an open forum like this anything can happen, but the intention is to contribute positively and at the same time to learn what you do not know. Ding ... Dong.
 
The draw for quarter finals .... .. Gunners at Home.

Loser fools Vs Leeds
Manure Vs West Ham
Hull Vs New Castle

Arsenal Vs Southampton
 
Back
Top Bottom