Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi vitumu vyingine bana mechi nyingine zote havitaki kukaza miguu, vikija emirates ndo vinajifanya vidume. Vione
 
Waliwachezea hivyohivyo Watford juma lililopita lakini wakafungwa mwishoni.
 
Somebody needs to bring a truck to tow this middlebrough blue bus off the goal area
 
Hamjamtendea fair babu na birthday yake.....matokeo ya Leo hadi raha bora mpunguzaneni kasi ninyi wenyewe wengine tuwakute. ...... hongereni kwa draw
 
Hawa ma-loser wamecheza defensive kama Manchester United wiki iliyopita, keshokutwa utawaona wanapigwa 5 mtungi na Burnley or Hull. Timu mbovu kama hizi(zilizo defensive ) hazina haki ya kuwa premier League
 
Umefurahi mpaka kunako 🙂🙂. Hongera kwa kufurahia sare yetu. Usikose kupita hapa kesho kushangilia kunyukwa kwenu 2-0. Hii mechi nilikuwa na wasiwasi nayo maana mechi na vitimu hivi vya hovyo hovyo huwa hatuzipi uzito unaostahili matokeo yake mara nyingi tunaadhiriwa, leo almanusra tunyukwe kama si bahati ya Mungu basi zingeweza kuwa hata 2-0 kama siyo 3-0. Wameniudhi sana hawa.

asee hakuna timu nalichukia kama hili mnaloshabikiaa ...timu mbovuuuuu...

wore hao mbwembwe tu ..wanavuma baada ya bech mbili wanapoteaa

mmekutana na vibondee Conte atawanyoosha wee ngoja tuu
Umelazimishwa? hahahaha
 
Hawa ma-loser wamecheza defensive kama Manchester United wiki iliyopita, keshokutwa utawaona wanapigwa 5 mtungi na Burnley or Hull. Timu mbovu kama hizi(zilizo defensive ) hazina haki ya kuwa premier League
Povu la nini tulia wew dawa ikuingie
 
Umefurahi mpaka kunako 🙂🙂. Hongera kwa kufurahia sare yetu. Usikose kupita hapa kesho kushangilia kunyukwa kwenu 2-0. Hii mechi nilikuwa na wasiwasi nayo maana mechi na vitimu hivi vya hovyo hovyo huwa hatuzipi uzito unaostahili matokeo yake mara nyingi tunaadhiriwa, leo almanusra tunyukwe kama si bahati ya Mungu basi zingeweza kuwa hata 2-0 kama siyo 3-0. Wameniudhi sana hawa.
Nyi nafasi yenu mnaijua musihangaishe watu bana, musilete visingizio bure, wiki 2 zijazo mabango wenga out
 
Umefurahi mpaka kunako 🙂🙂. Hongera kwa kufurahia sare yetu. Usikose kupita hapa kesho kushangilia kunyukwa kwenu 2-0. Hii mechi nilikuwa na wasiwasi nayo maana mechi na vitimu hivi vya hovyo hovyo huwa hatuzipi uzito unaostahili matokeo yake mara nyingi tunaadhiriwa, leo almanusra tunyukwe kama si bahati ya Mungu basi zingeweza kuwa hata 2-0 kama siyo 3-0. Wameniudhi sana hawa.
Poyeeeee jamani lakini bora nusu Shari kuliko Shari Kamili. ..... kesho natoka na ushindi wangu sina wasiwasi tumejipanga vizuri tu,vitimu vidogo nomaaaa sana ila nimesikitika hamjatenda fair kny birthday ya babu.....Leo siyo nyie tu si unaona Hata Hotspurs na Everton.
 
Back
Top Bottom