Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongera na wewe, naona mmebakiza mechi za vilema tupu mshindwe wenyewe.

Acha hizo Mkuu...Hakuna Vilema EPL ndiyo maana league hiyo imekuwa na umaarufu mkubwa duniani. Angalia wale Burnley wako hatarini kushuka daraja lakini waliwatoa nishia MANU. Angalia leo hawa HULL nao wako mkiani lakini ukizembea tu basi wanaweza kabisa kukugeuzia kibao. Hivyo kwenye karatasi mechi zetu nyingi zinaweza kuonekana ni rahisi, lakini ukweli si hivyo timu nyingi zinaingia uwanjani kwa kujiamini kama watajituma basi wanaweza kabisa kuithibiti Arsenal na hata kushinda. Nasubiri kesho niangalie karamu ya magoli ya Rooney au SAF anaweza kuamua kumpumzisha maana March 21st wanakipiga na L'pool.
 
Andrey-Arshavin-Arsenal-Premier-League2_2430690.jpg

The Russian silences the crowd

Sol-Campbell-Arsenal-Premier-League_2430744.jpg

The challenges are flying in! Sol Campbell and Kamil Zayatte clash in a 50-50, Zayatte comes out worse off and has to be replaced.

Banner-Hull-City-Arsenal-Premier-League_2430745.jpg

Hull City supporters show their dislike for Arsenal with a banner.

Theo-Walcott-Arsenal-Premier-League-PA_2430753.jpg

Theo Walcott comes off the substitute bench in the second half to help Arsenal push on for a second goal.

Nicklas-Bendtner-Arsenal-Premier-League-PA_2430754.jpg

Just when Hull thought they'd earned a vital point, Myhill palms a Denilson shot to Nicklas Bendtner, who fires in off the turf to grab a winner.

Mkuu Wacha1, mapicha yako huwa yananifurahisha sana Mkuu. Thanks a lot for your efforts.
 
ahsante kwa leo, ngoja nichungulie kwenye siasa nione kama kuna issue leo.

Kwenye siasa hakuna kitu Mkuu. Siyo siri kwamba miezi 10 kabla ya uchaguzi tumeshajua kwamba Kikwete atarudi tena madarakani kwa ushindi wa Tsunami na CCM watajizolea viti vingi vya bunge. Uchaguzi wa 2010 hauna tena ushindani ambao wengi tulidhania utakuwepo.
 
Surely, hali sio nzuri kabisa kisiasa nyumbani. Yaani ni kama tunapiga hatua moja mbele na tano nyuma! I hate the fact that CCM inaonekana kuendelea kuwa na nguvu wakati tunashuhudia matatizo kibao ya ufisadi wao. Nashangaa kwanini opposition wanaonekana kushindwa ku-take advantage iliyokuwepo kwa uchaguzi wa mwaka huu! The sad fact ni kwamba mojawapo ya nguvu za CCM ni uwepo finyu wa wapinzani wenye malengo hasa ya kuiondoa madarakani. I just hope I'll live to see another party ruling the country.
 
Acha hizo Mkuu...Hakuna Vilema EPL ndiyo maana league hiyo imekuwa na umaarufu mkubwa duniani. Angalia wale Burnley wako hatarini kushuka daraja lakini waliwatoa nishia MANU. Angalia leo hawa HULL nao wako mkiani lakini ukizembea tu basi wanaweza kabisa kukugeuzia kibao. Hivyo kwenye karatasi mechi zetu nyingi zinaweza kuonekana ni rahisi, lakini ukweli si hivyo timu nyingi zinaingia uwanjani kwa kujiamini kama watajituma basi wanaweza kabisa kuithibiti Arsenal na hata kushinda. Nasubiri kesho niangalie karamu ya magoli ya Rooney au SAF anaweza kuamua kumpumzisha maana March 21st wanakipiga na L'pool.

Unafahamu wakati mungine washabiki wanasema tumebakiza mechi mchekeo lakini si kila timu imecheza na hizo timu mchekeo ... ... ndiyo sababu ikaitwa League. Mwaka huu lazima kikombe kitinge Emirates kama vijana watakangamaa na zile mechi za mwishoni naona wachezaji wote majeruhi watakuwa wamerudi. Good news Song kamaliza adhabu yake kwa hiyo pale katikati itakuwa poa sana kwani leo Nasri ilipwaya kidogo.
 
Banner-Hull-City-Arsenal-Premier-League_2430745.jpg

Hull City supporters show their dislike for Arsenal with a banner.
Nice pic! From left to right:
1. Stop diving, you diving lot (Eduardo, Eboue, Van Persie.....)
2. Stamping on the opponent's foot is prohibited, you idiot Nasri.
3. Mr. Fabregas, spitting at an opponent or opposition official is not part of football game we all love! Try using surgical mask if you can't keep your mouth shut!
4. Arsene Whinger simply never see any of dirty tricks used by his team! You must be ashamed of yourself, it's time now you take off your blindfold!
 
You are one of them na kikombe tunachukua Khe khe kheeeee mtabaki kuduwaa na kujiuliza nini kimewapiga.
 
Thanks BAK nilikuwa namwangalia leo Hansen hana raha hata kidogo maana alikuwa anatukandia kila uchwao na sasa pressure iko kwa wapinzani wetu. Safi sana eight matches to go ... .. come on Gunners!

For stats:

GUNNERS ARE LAST-GASP MASTERS
Nicklas Bendtner’s late goal in last night’s 2-1 win at Hull was the seventh time Arsenal have scored in stoppage time in the Premier League this season, and the fifth time they have done it in the past four games in all competitions. It was the sixth time Hull have conceded in stoppage time in the league. Arsenal’s late win seemed inevitable. They have scored 15 goals in the last 10 minutes this season, more than any other Premier League side, while Hull have conceded 14 in the same period, also more than any other top-flight side.
 
4-2=2 au umesahau hisabati, Man Citeh wametufunga 2 bila, ...lol
Lakini kumbuka na nyie mlivyoburuzwa na na wakubwa zenu Chelsea na ManU?

...😀😀😀

duuuh, unakumbushia mechi zileeeeee? aaah bana....!
hayanuki hayo, tunatanga yajayo tu sasa,...
kugeuka geuka nyuma twaweza geuka mawe bure!

Thz dayz maneno machache, pointi kibindoni! ....'Mwendo mdundo!'....
 
5000!!! replies in Arsenal thread, woooooow! ...what a milestone.
'Bigggggggggguuuuuup! ' all Gunners!

Together we stand!!! 😀

'wenye wivu wajinyonge!'
 
5000!!! replies in Arsenal thread, woooooow! ...what a milestone.
'Bigggggggggguuuuuup! ' all Gunners!

Together we stand!!! 😀

'wenye wivu wajinyonge!'

Nafikiri nimechangiakama 20% hivi....lol😀😀
 
5000!!! replies in Arsenal thread, woooooow! ...what a milestone.

'Bigggggggggguuuuuup! ' all Gunners!

Together we stand!!! 😀

'wenye wivu wajinyonge!'

Hahahahahahahahahah hii inaonyesha ni jinsi Gunners ilivyokuwa chama kubwa hapa jamvini ukilinganisha na akina nanihii.....LOL!
 
Nafikiri nimechangiakama 20% hivi....lol😀😀

Haya Mkuu Ahsante sana kwa 20% ya mchango wako 🙂...lakini watu wa GUNNERS baada ya kupitia michango yako kwenye thread hii kwa haraka haraka 😉 wanadai umechangia 1.5% tu....LOL!
 
Haya Mkuu Ahsante sana kwa 20% ya mchango wako 🙂...lakini watu wa GUNNERS baada ya kupitia michango yako kwenye thread hii kwa haraka haraka 😉 wanadai umechangia 1.5% tu....LOL!

aha ha haaaaa... Peasant chukua 'shilingi yako na thumni', ndio thamani ya share zako humu jamvini kwa washika bunduki!!!! 😀😀😀
 
aha ha haaaaa... Peasant chukua 'shilingi yako na thumni', ndio thamani ya share zako humu jamvini kwa washika bunduki!!!! 😀😀😀
Fanyeni hizi tathmini may ndo zitakuwa na hesabu nzuri kwavile itakuwa mwisho wa msimu.Hapa siku hizi ni vicheko tu hongereni wadau.
 
WENGER BELIEVES
TITLE TILT IS ON FOR ARSENAL

Boss thought Gunners were out of it

wenger_denil_516x350_99410a.jpg

WENGER: Celebrating with Denilson
 
WENGER BELIEVES

TITLE TILT IS ON FOR ARSENAL

Boss thought Gunners were out of it

wenger_denil_516x350_99410a.jpg

WENGER: Celebrating with Denilson

...hata mimi kuna kipindi imani ilinitoka, wala si siri....duuuh? ama EPL haina mwenyewe!

Pamoja na 'umoja na mshikamano' mpya ndani ya team, sio siri Arsenal hata bila kusajili striker summer na dirisha dogo, usajili wa Vermaelen na Campbell umeimarisha team maradufu!!!

waliokuwa wanatubashiria nje ya top four bye bye! 😀
 
Ukweli ushindi wa jana ulikuwa na umuhimu mkubwa, Hull walikuja kivita na walijituma sana na kukimbia kwa dakika 90, pitch ilikuwa mbovu kutokana na mechi ya rugby na ilitupunguza kasi, tulikuwa hatuna creativity katikati, Nasri alionekana amechoka na hakuwa creative, upande wa Denilson nae alikuwa anapoteza posessions mno na hakutoa support/cover ya kutosha kwa deffense zaidi alim-expose Campbell kwa Altidore na Vennegoor of Hesselink. Ni wazi tuli-miss sana Fabregas creativity na Song deffensive cover/ ball winning tackles.
Ushindi huu umenizidisha imani kwa asilimia 100% kwamba tutamaliza msimu kama EPL champions.
5 wins out of 5, 15 points out of 15, 8 games to go, This is championship form na kama bonus ni kwamba RVP ameanza kukimbia kimbia na Bendtner ana-hit form.
As Arsene says why shouldn't we believe?
 
Back
Top Bottom