hata siku moja kwa beki vile Arsenal haijifunzi sijui why na LFC pia haijifunzi kwa Arsenal kwamba mpira sio Pasi na touch ndogo nakuwa soft na kama huna DM na beki ligi si rahisi kushinda afazali nyie ila LFC lazima ijifunze makosa kwa Arsenal ila kwa sie LfC muhimu point 3! mpira wa UK ni Mabeki DM na kukimbiza, Ubishoo hushindi kitu.Season over. Arsenal got relegated, Liverpool have the title. See you next weekend.
kwa sasa sitaangalia mechi yoyote mpaka wenger aondoke..ni msimamo wangu sirudi nyuma...ni uwendawazimu kutegemea kupata ubingwa mbele ya mastraika kama giroud,walcot,welbeck,sanogo..kwa herini wadau tutaonana wenger akiondoka

Nakubaliana na wewe ila kama zitajifunza makosa yapo wapi na kukubali zitakuwa mbali ila kama ulivyosema game zinabadilika na vipi unaziingia ukicheza game ngumu toa ubishoo.Every match is different.
Babu in or out?Jangaaaaa ...la babu .
Sio rahisi kama unavyosema kama kweli ulikuwa unaipenda kweli timu yako,me nimejaribu kuhama zaidi ya Mara moja nimeshindwa.Yaani siwezi kabisa,ngoja niendelee kufa na tai shingoni tu,always gunner's.Ndo maana niliamua kuhamia man u nijilie raha sitak shida hiz![]()
![]()
![]()
We need a world class striker,world class defender,and most importantly we need a world class coach...!
Nshakumbuka Ngongo alihama...tena alileta na post kabisa hapa jikwaani!!Unajua mi kuna kitu najiuliza nakosa majibu
IVI unawezaje kuing'anga'nia kwa hali kama hii?
Kwani mlikula kiapo?
Mbona lile sio kabila wakuu mnaweza kuhama tuu kama ngongo
That will never happen under this idiotWe need a world class striker,world class defender,and most importantly we need a world class coach...!
Sio rahisi kama unavyosema kama kweli ulikuwa unaipenda kweli timu yako,me nimejaribu kuhama zaidi ya Mara moja nimeshindwa.Yaani siwezi kabisa,ngoja niendelee kufa na tai shingoni tu,always gunner's.
mwisho Wa saa utakuja jinyonga mkuu hilo sio kabila mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mwisho Wa saa utakuja jinyonga mkuu hilo sio kabila mkuu
hawa nyumbu kweli...na watakufa...