Arsenal imedumaa na haikui. Its like Messi wakati akiwa mdogo Barca walimnusuru. Arsenal inahitaji Barcelona kuinusuru ili walau ikue, na huyu Barcelona basi walau au wa mafuta au Wachimba chuma wa Russia.
Babu AW ni tatizo lkn kumwona yeye kama ni tatizo pekee basi tunakosea, nyuma yake kuna Bodi na bodi inaweka malengo yake ya mwaka, na yanatakiwa kufikiwa, sasa wasiwasi wangu ni kuwa Bodi inaeeka malengo yake ya mwaka na ya muda mrefu ambayo babu anayatimiza. Sasa hapo ndo panapoibua maswali bodi malengo yake ni yepi? Pengine wanaseti malengo finyu sana na ambayo anayafikia. Na kwa hali ilivyo sasa hakuna mtu hapendi ajira isiyo na presha, AW kwa sasa hana presha na kibarua chake kabisa. Anajua mwisho wa siku anatimiza malengo ya mwajiri wake na pengine kuyavuka kabisa.
Mmiliki wa team ana matatizo na tatizo kubwa kwake ni kukosa kuufahamu mpira wa miguu ambako amewekeza pesa yake. Kama mwisho wa mwaka sehemu yake ya faida inaingia na hakuna tatizo na hajui juu ya furaha ya mashabiki na ushindi.
Silent Stan has to go aiache team, chini yake toka ameichukua team haijasogea mbele zaidi ya kumlipa gawio toka kwenye uwekezaji mdogo sana anaoufanya.
Why Money on the bank. Kama viingilio vya wanaotaka kuiona team yao inapata mafanikio kwa kunyakua mataji bado viko juu, kwa nn pesa hiyo isiwekezwe kwa kununua wachezaji?