Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa kama hawa wabovu wanatupiga hivi, itakuwaje kwa Man city au Chelsea
naona unaona aibu hata kuitaja Man u, kutana na sisi tuwapige 10 bila..

hahaaaaaa! yani nataman Man U tungekutana na Arsenal leo ili ajute kuchezana Man
 
Unajua mi kuna kitu najiuliza nakosa majibu
IVI unawezaje kuing'anga'nia kwa hali kama hii?
Kwani mlikula kiapo?
Mbona lile sio kabila wakuu mnaweza kuhama tuu kama ngongo
 
Mkuu kama wanaona stadium iko empty kwa mashabiki kwenda kuona vipigo kama hiki watatia akili kichwani. Haiwezekani wakusanye mabilioni ya pesa kila mwaka halafu wanaishia kufanya usajili ambao hauleti ushindi. Mimi huwalaumu pia wapenzi na mashabiki ambao huijaza stadium huku wakiwa hawana furaha na usajili wa Wenger. Umesikia wakimwimbia Wenger Chants of "don't know what you're doing"
Nisiku nyinhi amekua akiambiwa hivyo lakini hakukuwai kua na tija ata siku moja
 
Back
Top Bottom