Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Opening game ishakua msiba kwetu naona msimu wa 3 in row tunapigwa kila pazia likifunguliwa na balaa linatukuta hapa hapa Emirates
Hatuna timu ya ushindani timu zote kubwa wamefanya usajili wa maana huyu mzee analeta jokes kila msimu hafai mpumbavu sana
 
Ila huyu Mzee Wenger atatuua mwaka huu kwa presha,haiwezekani Mzee anapewa pesa alafu anarudisha benki eti amekosa kabisa striker wa kumleta arsenal. Yaani huyu Mzee amekuwa fal.a sana.
Kama anataka classic amchukue messi Ronald neymer Suarez huyu mzee mpuuzi sana
 
Ila huyu Mzee Wenger atatuua mwaka huu kwa presha,haiwezekani Mzee anapewa pesa alafu anarudisha benki eti amekosa kabisa striker wa kumleta arsenal. Yaani huyu Mzee amekuwa fal.a sana.
adui mwombee njaaa
Hongera Philip cutinho kwa kaz nzur
Na mwakaa huu tutakuwa tena washiriki UEFA hata ligi kuuu
Da huu mchezo hautak asira
 
mwisho Wa saa utakuja jinyonga mkuu hilo sio kabila mkuu
Nimejaribu kuihama arsenal nimeshindwa kiongozi,lakini sijui kwanini management ya arsenal inaendelea kumwacha huyu mzee,utadhani makocha wengine wameisha.Yaani shida tupu kiongozi
 
Ndiyo soka jamani
Kuna kushinda na kushinda
Haina haja ya kuanza kununiana tukija hapa sababu tu mmepoteza
Kumbukeni mmepoteza kwa team bora kabisa uwanjani
BAK and Belo poleni sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakubaliana na wewe ila kama zitajifunza makosa yapo wapi na kukubali zitakuwa mbali ila kama ulivyosema game zinabadilika na vipi unaziingia ukicheza game ngumu toa ubishoo.
Congratu, tumefungwa na timu nzuri. Itabidi tujipange vizuri vs Leicester city. Ligi bado mbichi kila timu hapa inaweza kufungika.
 
Nadhani kuna watu humu wanastahili kuendeleza ushabiki wa Simba na Yanga, usiojali kuwa objective. Nasema hivi kutokana na post ninazosomaga. Arsenal wamefungwa na a best team on this day fair and square, kusajili au kutosajili it doesn't matter kwamba timu haitafungwa hata mechi moja. Ni mechi ya kwanza kufungwa msimu ndio unaanza it doesn't mean Arsenal wataendelea kufungwa kila mechi au watashinda kila mechi tokea leo.
 
Binafsi napenda tungefungwa 5 bila hakuna usimba wala uyanga hapa issue ni moja kikosi cheti kibovu na tija ni kusajiri, peoples speak their minds sasa shid Iko wapi...
 
Nadhani kuna watu humu wanastahili kuendeleza ushabiki wa Simba na Yanga, usiojali kuwa objective. Nasema hivi kutokana na post ninazosomaga. Arsenal wamefungwa na a best team on this day fair and square, kusajili au kutosajili it doesn't matter kwamba timu haitafungwa hata mechi moja. Ni mechi ya kwanza kufungwa msimu ndio unaanza it doesn't mean Arsenal wataendelea kufungwa kila mechi au watashinda kila mechi tokea leo.

Hata mkifungwa na Hull City mtasema hivi.
 
Ilivyokua 4-3 arsenal wakisogelea goli la liverpool nlikua navibrate kwenye kochi..Kweli mpira unakufanya uwe mwehu na presha juu.
 
IMG-20160814-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom