Hapana kuna beki mzigo hapo huyo dogo anaitwa Holding, dogo kama huyu awezi kupambana na kina Mane wazoefu wa EPL.Chambers sio beki....
yani kwa mpira huu mnaocheza ingekuwa mnacheza na Man U mngepigwa 10 bila.Tupigwe tuu
Acheni tutandikwe tu hata 10 maybe this will speed up the process of getting rid of Babu Wenger.
Utampa lawama bure Monreal, kuanzia kiungo wameshindwa kuwazua Liverpool.I hate Nacho Monreal hafai kucheza beki mtu gani hajui kudefend yeye anafanya zonal marking tuuu
yani kwa mpira huu mnaocheza ingekuwa mnacheza na Man U mngepigwa 10 bila.
hahaaaaaaaa!
unakuja kujifurahisha kwenye thread ya Man U alaf huku unakufa na tai shingoni
Board ya hawa wapu.mbavu haiwezi kumpiga chini huyu babu. Wanapata wanachotaka, kwao vikombe havina umuhimu.
Arsenal, wakikomaa wanasawazisha hata Liverpool wenyewe siyo wazuri wa kiivyo.Takuma ili acheze vizuri inatakiwa amsajili na Embolo
Hata tukitoa droo, au kushinda..still the team is very weak...Some hope a little. 3-4
Ndo maana niliamua kuhamia man u nijilie raha sitak shida hizAcheni tutandikwe tu hata 10 maybe this will speed up the process of getting rid of Babu Wenger.

Hivi ni internet plan ipi utaona live soccer streaming bila kukatakata
Nina megabyte 2 za one day kifurushi cha vodacom lakini inakatakata