UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Tupigwe tuuu hakuna namna
Hili zee linaona kabisa wenzake wanaimalisha timu lenyewe lipolipo tu, hakuna kitakachobadilika, utakuwa msimu wa ovyo kuliko yotemkuu pole league bado mbichi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mashabiki wa Arsenal msijisikie unyonge ndivyo mnavyoanza ligi siku zote.
lakini Takuma si kamsajili. au ajapata kibali cha kucheza ?Hili zee linaona kabisa wenzake wanaimalisha timu lenyewe lipolipo tu, hakuna kitakachobadilika, utakuwa msimu wa ovyo kuliko yote
Hahahaaaa anahangaikia work permitlakini Takuma si kamsajili. au ajapata kibali cha kucheza ?
Board ya hawa wapu.mbavu haiwezi kumpiga chini huyu babu. Wanapata wanachotaka, kwao vikombe havina umuhimu.Acheni tutandikwe tu hata 10 maybe this will speed up the process of getting rid of Babu Wenger.
Takuma ili acheze vizuri inatakiwa amsajili na Embololakini Takuma si kamsajili. au ajapata kibali cha kucheza ?
Mtetea Wa ars anazidi kula kipigo kizito kwa majogoo ya London shukran za dhat kwake Philip coutinhoHili zee linaona kabisa wenzake wanaimalisha timu lenyewe lipolipo tu, hakuna kitakachobadilika, utakuwa msimu wa ovyo kuliko yote
