xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,921
Wengine walisema hawataonekana humuSitaangalia mechi tena mpaka huyu Mzee afukuzwe
Wengine walisema hawataonekana humuSitaangalia mechi tena mpaka huyu Mzee afukuzwe
This old man should be fired before he causes more damageWe are f'cked. Wenger out, Wenger out again and again..
Ndo ligi imeanza.
mkuu pole league bado mbichi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitaangalia mechi tena mpaka huyu Mzee afukuzwe
Last season tuligongwa mechi ya kwanza pia. Msimu huu tunaendeleza libeneke kama wanavyosema.
Hahhaaaa.......na kwanini asajili? Embu mpe sababu huyo mchumi.Kwanin mzee wenger hasajili??
Hahhaaaa.......na kwanini asajili? Embu mpe sababu huyo mchumi.Kwanin mzee wenger hasajili??
Tunatiwa aibu leo, this is unacceptable ekse!!!