UMBWE1
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 789
- 759
Inaweza kuwa ni plot ya wachezaji wote lakini kwa faida ya timu inasaidia kumkumbusha Wenger umuhimu wa kusajili mshambuliaji ambae ni mmaliziaji mzuri.
Ila hii itakuwa ni mara ya pili Ozil kwenda public maana mara ya kwanza alitamka maneno ya kuonyeshwa kukasirishwa na Giroud na Wenger akakaa kuzungumza nae kuhusu hilo.
Tatizo ni kwamba mipangoya siri ya Arsenal ni Wenger, Gazidis na bodi ndiyo wanafahamu si mwingine.
Kuna tetes za lendawoski yule wa bayern umezisikia ?