UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Dahhh nimeamini ule msemo wa once a gunner forever a gunner, huyu mzee anazingua sana ila ndo hivo tena arsenal fans wako royal sana, ingekuwa mashabik wa man u team ingebaki na familia ya graizer tu. Na huyu wenger angekuwa tanzania ata mm ningejitolea kumchoma visu vingi sana hadi awe km chujio







mi nisha umia moyo mpaaaka yaani nimeacha