Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sijui kwa nini kila transfer window ikianza media nyingi zinaihusisha arsenal na usajili wa wachezaji lukuki, kwa nini wanafanya hivyo huku wakijua arsenal sio timu ya kununua? Au nao wanataka tu kupandisha pressure ya dirisha la usajili??
 
Mkuu binafsi sidhan kama A. Wenger atasajili watu hao hasa mehrez kwa lacazete siju maybe inawezekana laki ukisikia kauli za wenger ni wazi kuwa inaonekana hana tena mpango wa kutoa pesa zaidi ya ile aliyoitoa kwa Granit Xshaka.

Nakupata mkuu, lakini usiwe na wasiwasi Lacazette anakuja Arsenal wao wamekwishaamua hivyo, ila Mahrez kidogo inaweza kuwa shida.

Hivyo tusubiri wiki hii Arsenal wanaenda tena Lyon na kama 42M pauni hivi.

Watafanya biashara tu Lyon.
 
Sijui kwa nini kila transfer window ikianza media nyingi zinaihusisha arsenal na usajili wa wachezaji lukuki, kwa nini wanafanya hivyo huku wakijua arsenal sio timu ya kununua? Au nao wanataka tu kupandisha pressure ya dirisha la usajili??

Arsenal ni timu ambayo haitakuja kununuliwa na mtu binafsi kama timu zingine kubwa.

Pili, Arsenal inachukiwa kwa sababu ya Wenger yupo pale na anahodhi mambo mengi na kuelewana na bodi na wako pamoja kuendesha mfumo wa biashara pamoja yaani "business model."

Wenger alikuwa ni mmoja wa watu waliotoa wazo la financial Fair Play kwamba timu ziishi kwa kutumia kipato chao, lakini hiyo kitu imepigwa vita na media, pundits na watu wengine akiwemo Asmanov ambao wanaamini katika entertainment na wachezaji maarufu ambao wanaifanya PL iwe burudani ya aina yake.

Hao watu binafsi Abramovich, na wamiliki wa Man City na Man United ndiyo wanashindana na Wenger kwenye dirisha la usajili kila mwaka.

Mmiliki wa Liverpool nae anafahamu namna ya kufanya usajili na nafikiri umeona usajili ambao Liverpool wamefanya, na Klopp nae amezungumza kama Wenger kuhusu matumizi ya pesa za ziada ili kununua ubingwa.

Tusubiri Arsenal msimu na msimu ujao.
 
Safi umehit target kabisa
 
Official kevin gameiro ametua Atletico madrid.. Hii atletico tuiangalie kwa jicho la tatu, watakuwa hatar sana msimu huu..Soon ntatangaza ndoa na mchepuko wangu atletico madrid, maana mama watoto arsenal toka nifunge nae ndoa 98/99 mpaka leo hii furaha chache vidonda ving, Ila mchepuko wangu toka nimpende yeye maumiv machache kwa kweli..Soon mke wa pili atahusika.

Baba mtu mzee wenger ndo chanzo cha migogoro kwenye ndoa yangu
 
Acha tu
 
Leo ilikua photocall kwa 1st team
ImageUploadedByJamiiForums1470245788.509508.jpg

JW10 alikuwepo kama kawaida
ImageUploadedByJamiiForums1470245826.616959.jpg

Hector nae ndani
ImageUploadedByJamiiForums1470245852.869213.jpg

The Beast is back rasmi kwa new season.
ImageUploadedByJamiiForums1470245899.915824.jpg

Mtu wa makamo nae alikuwepo Arsene Mushi Wenger,usinune vumilia tu.
ImageUploadedByJamiiForums1470246007.890997.jpg

Ustaadh anarejea London mapumziko yameisha.
Kutoka moyoni kabisa naipenda Arsenal mwanzo mwishooooo COYG.
 
asajili top class defender n top class striker..
Babu humjui.
Ameanza kumwagia sifa Rob Holding na Chuba basi haya ya kusajili tusahau tu. Labda itokee bahati mbaya Liva game ya ufunguzi watuzabue mvua kama ile ya Manyua basi atafanya panic buy ma sio vinginevyo
 
Back
Top Bottom