Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenzetu mko wapi?
Sawa ma dissapointment na nini nini, ila tunamaliza wa pili, juu ya spurs...surely its a consolation?!
C O Y G
 
Hivi huko ulikohamia Mkuu msimu huu mmechukua nafasi ya ngapi vile? Nauliza tu... ukimuacha mkeo huku bado unampenda unaweza kufuta talaka na maisha yakaendelea kama zamani.

Kwahiyo ukimwacha mke kama kafanya jambo jema hakuna kumsifia ?.
 
Thanx much lads,inatosha kabisa kwa msimu huu sio mbaya nimefurahi tumemaliza vizuri especially kua juu ya Spurs.
 
finishing above spurs does not make sense as our season was a mess....i'm fucking tired of these same stories, year after year

I will always be a Gunner but i'll no longer support the team under AW tenure
 
Wenger katika ubora wake, Arsenal juu ya Spurs , In Wenger we Trust
 
Two wrong dont make it right,Mlipaswa ku-take advantage hichi kipindi ambacho timu nyingine zinaboronga (Chelsea,United,City,Liverpool ) .Naona baadhi ya mashabiki tayari mmeshazoea
Kwa nini mnasema arsenal tu ndo ingetake advantage? Liver na manutd vipi?
 
Kwa nini mnasema arsenal tu ndo ingetake advantage? Liver na manutd vipi?
Arsenal,Chelsea,Liverpool wamebadilisha makocha miaka ya karibuni Arsener Wenger yupo zaidi ya miaka 20.Na kabla hawajajenga uwanja alikuwa na kisingizio timu haina hela kushindana na wenzake now Emirates imekamilika lakini cha ajabu bado anawategemea striker kama Giroud,Walcott
 
Arsenal,Chelsea,Liverpool wamebadilisha makocha miaka ya karibuni Arsener Wenger yupo zaidi ya miaka 20.Na kabla hawajajenga uwanja alikuwa na kisingizio timu haina hela kushindana na wenzake now Emirates imekamilika lakini cha ajabu bado anawategemea striker kama Giroud,Walcott

Acheni mboyoyo, kwani sababu ya man u, chelsea, liverpool zimebadili makocha kwa nia ya kuwa 7,8 au 9??? mapovu yanawatoka kwa arsenal 2, humuoni bingwa aliepita na nafac aliepo kwanini bingwa asie yy, kabla hujasema team ya mwenzio angalia na yako sio umbea 2, unataka unanimbie kwa kuangalia uwezo wa kikosi mlitegemea arsenal ndo atakuwa juu ya chelsea na man city? Haya nyie mlietegemea kina aguero, costa, martial, benteke, hazard, depay, mko wapi??? Haya maneno muwe mnamwambia wenger mwenyewe coz huu ujuzi wenu wa uchambuzi at ukiniambia mm humu jf hausadii
 
Acheni mboyoyo, kwani sababu ya man u, chelsea, liverpool zimebadili makocha kwa nia ya kuwa 7, 8, au 9??? Wote nia yao washinde ligi ila mapovu yanawatoka kwa arsenal2, humuoni bingwa aliepita na nafac aliepo, kabla hujasema team ya mwenzio angalia na yako sio umbea 2, unataka unanimbie kwa kuangalia uwezo wa kikosi mlitegemea arsenal ndo atakuwa juu ya chelsea na man city? Jadilini mambo ya makocha wenu huko sio kuleta ufundi ujuaji huku
Yaani kila MTU Arsenal tu timu zipo nyingi na yoyote aweza kuwa bngwa
 
Back
Top Bottom