Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaelewa kandanda inavyofundishwa?
Mourinho na "ukali" wake na mafanikio yake amefukuzwa kazi na mafiaso wa kirusi.
Unaweza kueleza "ukali" wa Ranieri?
Je Ranieri alipofundisha Chelsea hakuwa "mkali"?

Mimi naamini upoyoyo uko kwa wachezaji. Wenger anafundisha mpira na mbinu nzuri na safi tu kwa mchezo wa kandanda. Tena style ya Arsenal inavutia sana machoni. Kinachokosekana ni wachezaji kujitoa mhanga na kukuza hamu ya kushinda ukiachia wachache kama Coquelin, Alexis,Welbeck, Campbell, Bellerin, Cech, Cazorla.

cc. Ntuzu, Enzo
We jamaa wewe,ukali I meant ile hali ya kujituma zaidi,kama unatuatilia arsenal na n member nadhan huwa unaona mchezaji akikosea anaelekezwa vipi,timu yoyote bila kocha kukomaa hakuna jipya,Wenger kajisahau,unakumbuka kipind wakina Vieira wanagombana,Leo iko wapi,kocha kama ana kibarua no matter matokeo hakuna jipya hapo
 
Akina Viera waligombana na Wenger? Au Wenger aligombana na akina Viera?

Au Akina Viera waligombana baina yao (wachezaji) kuelekezana na kuamsha mori na ari?

Kukomaa yenyewe unataka iwe kukomaa ya Magu, "mnasemaje, nimtumbue, nisimtumbue?"
Mbele ya "camera"?

Wenger anawaamini wachezaji wake, Wachezaji ndio "hawatoshi" hawachangamkii tenda.
Unataka aige mfano Mourinho alipokuwa Chelsea alivyokuwa anawapaka kinyesi wachezaji wake ambao aliona wanategea uwanjani?
Nini matokeo ya mbinu hiyo ya Mou? Alijuta kumfahamu Mafiaso wa Kirusi.

cc Enzo, Ntuzu
 
..... baada ya kufungwa goli la kwanza basi wachezaji wakaamini ndo washapoteza mechi tayari

Ila take Liverpool as a benchmark uone jinsi Klop alivyoijenga timu kisaikolojia, same players ila performance tofauti kabisa na ya Brendan....angalia mechi yao na Dortmund from 3-1 down to 4-3 kitu ambacho kwa Arsenal ya AW ni day dream
Umenichekesha sana, Teh teh, kwe kheeeeeeee.

Unazungumzia Liverpool iliyofungwa na Swansea 3-1 au Liverpool ingine?

Kwa hiyo unataka mchukue nafasi waliyo Liverpool? Hivi Liverpool wako nafasi ya ngapi katika msimamo wa Ligi?

Yule jamaa wa majogoo, Mayafyale, mafyalala au maafayale , kunradhi nimesahau jina lake nafikiri anatamani Liverpool ifike nafasi ya 3 au ya 4. Naamini hata Mafiaso wa Kirusi anatamani amwajiri Wenger ili Chelsea wacheze kandanda mwanana/kitale na sio mieleka na rugby.

Aiseee Wenger ana uzalendo, miaka 19+ kufundisha Timu moja.!!!

Saikolijia ya Klopp.
Link Swansea City 3-1 Liverpool
 
As a manchester utd fan, you can never understand what an Arsenal fan means....only herrera (a fellow utd fan) can understand you...Arsenal fans understand what an Arsenal fan says!!!
 
Man U aibu inawakuta msimu hawatausahau kamwe kwani chelsea akimfunga spurz ...Leicister atakua bingwa na pale king power stadium wataandika 2015/2016 ubingwa wameupatia old trafford😀🙁😀
 
With two game to play and as Lei just need two points to be crowned new champ depending on the tonight's game. If this LEI is given to Mr AW we not sure if he can manage to get this valiable two points.

Ama kweli we need changes

#WengerOut

Hii kitu aione, Ntuzu, Enzo, Everlenk, herrera.
Naona mmeamua nishabikie Timu zote. Umeninunulia kadi ya uanachama huko?
Hongera kwa Leicester. Msimu ujao nabadilisha timu. Leicester mwakani watausikia redioni tu ubingwa.

Miaka 9 ya kusubiri ubingwa umeiona mingi?
Badilisheni Kocha msubiri miaka 18.
 
With two game to play and as Lei just need two points to be crowned new champ depending on the tonight's game. If this LEI is given to Mr AW we not sure if he can manage to get this valiable two points.

Ama kweli we need changes

#WengerOut
#WengerOut
#WengerOut
#WengerOut
#WengerOut
#WengerOut
Mnamwonea Wenger. Wenger amewanununulia wachezaji wa bei mbaya, Ozil, Alexis hawa wawili fedha iliyotumika ni karibu sawa na fedha iliyotumika wachezaji wote wa Leicester.
Wenger aliwaambia hauhitaji ma-star wa bei mbaya kucheza mpira na kushinda. Leo mnaisifia Leicester. Sasa mpate aibu kidogo. Msilazimishe Wenger kununua wachezaji.

Kinachotakiwa ni wachezaji kujifahamu na kujielewa wanataka nini. Wanataka ubingwa? Wachezaji wajione ni wapiga mizinga, simba nyikani na sio kuwa wapigwa mizinga. Hilo tu ndio mnalolihitaji Arsenal.
Wenger will decide and choose when to go, when to call it a day.
 
I'm glad this season is over.Wapemba wamebeba kombe.Tusubiri msimu ujao
 
Man U aibu inawakuta msimu hawatausahau kamwe kwani chelsea akimfunga spurz ...Leicister atakua bingwa na pale king power stadium wataandika 2015/2016 ubingwa wameupatia old trafford😀🙁😀
Ipi aibu kubwa, kuchukulia ubingwa kwa mtu au kufanya hii mambo?

1462246230106.jpg
1462246348125.jpg
 
Mmefurahi sana kwa Tottenham kukosa ubingwa?

Hakuna cha kufurahi mkuu, ni kujifariji kimasikini jeuri.Timu yenye bajeti ya mtaji wa maandazi imetushinda wenye bajeti ya serikali ya Bongo. Kuna haja gani ya kufurahi ?
 
Kuendelea kuwa na AW kama Mkufunzi mkuu wa team ni Gharama iliyowazi ya kuukosa ubingwa.
Mpira umebadilika sana na mbinu ndizo zinazopelekea consistency ya matokeo chanya. Babu ameishiwa na hana msaafa tena, amebaki kuishi kwa historia ambayo 70% ya team ya pili aliyochukua nayo ubingwa wa pili na watatu kwenye historia yake aliirithi toka kwa mtangulizi wake. Achilia mbali ubingwa wake wa kwanza team yote aliirithi.

Babu tutamkumbuka kwa jambo moja tu la kujenga kiwanja ambacho kama hatabadilishwa mwalimu basi kiwanja hiki ni laana Kwake na hatutabeba taji pale.

Johan Kruft (Kama sijakosea Jina Lake) alijenga utamaduni wa soka la Barcelona kwa miaka 6 na msimu wake wa sita alifukuzwa kazi kwa mwenendo mbaya. Lkn leo hii Barcelona inacheza mpira wa tamaduni aliyoijenga. Lamasia ni chachu ya team yote ya Barcelona. Leo Barcelona wanamtujuza Johan kwa kazi yake.

AW mwaka wa 20 huu unaisha bado anajenga tamaduni ya team. Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao. Na Bado Bodi wanaamini kuwa atafanikiwa, wanasahau kuwa umri pia unamtupa mkono haraka sana na kwa sababu ya umri akili nazo zinashuka uwezo wake ule wa kawaida na kuwa hamnazo.

Hongera Leicester kwa mafanikio haya ya msimu huu.
 
Utasemaje Leicester timu ndogo wakati wachezaji wake wana medali ya PL kitu ambacho 99% ya wachezaji wenu wanakisikia redioni
Welback,sanchez cech ongeza na wengine watatu ndio waliopata bahati ya kunyanyua kwapa.
 
Back
Top Bottom