Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger haondoki Arsenal mwaka huu ni mpaka mkataba uishe.

Ni yeye ndie atakaetafuta meneja mpya wa Arsenal halafu yeye kupanda kuwa mkurugenzi kwenye bodi na anatajwatajwa Ronald Koeman wa Southampton.

Anataka kufanya mabadiliko makubwa msimu ujao.

Wachezaji wengi wa Uingereza watauzwa.

158614279.jpg

Ramsey, Walcott, Chamberlain na Kieran Gibbs huenda wakajiunga na timu zingine za Uingereza.

Arsenal wanatarajiwa kukamilisha usajili wa Granit Xhaka Borussia Monchengladbach ya Germany mwishoni wa ligi hii au kabla.

Arsenal walipoteza nafasi ya kuwa bingwa walipofungwa na Man Utd na Swansea na kutoa sare na Tottenham na West Ham.
Alishakataa kuwa ataacha Successor

na mambo yanavyokwenda kuna kila dalili hali isiwe nzuri "SUMMER" fans wataleta balaa sio dogo

1. Spurs wana possibility kuwa Champs wako 5 points behind Leicester na Chelsea peke yake ndo Timu ngumu mbele yao kulinganisha na Leicester na Jimmy Vardy kapigwa BAN game 2 mfululizo

2.Spurs kumaliza juu ya Arsenal ni "INSULT" kwa Fans wa Arsenal ukizingatia ni Arch Rivals na wamekuwa Trailing kwa miaka 19 sasa, kumaliza juu yako kisoka wamekufikia UKO LEVEL NAO, fans watalianzisha na Victim ni Arsene wenger

SPURS wanashinda ligi au kumaliza juu ya ARSENAL

I can smell Protests on Mercandises, Season tickets na Boos za kutosha kwa ARSENE WENGER na baadhi ya Under perfomers wake

Ideally Arsene hasiwe mtu mkosa AIBU ajiondoe tu, he will never win it again

uking'ang'anizi ni KUHARIBU LEGACY yake mwenyewe
 
Alishakataa kuwa ataacha Successor
na mambo yanavyokwenda kuna kila dalili hali isiwe nzuri "SUMMER" fans wataleta balaa sio dogo
.......
Ideally Arsene hasiwe mtu mkosa AIBU ajiondoe tu, he will never win it again

uking'ang'anizi ni KUHARIBU LEGACY yake mwenyewe
Kama Ranieri ataweza kushinda kwa nini Arsene Who!? ashindwe kutwaa tena, Wenger aendelee tu, Umeona wachezaji wa Leicester wanavyojituma na kukomalia? Kosa liko kwa baadhi ya wachezaji wa Arsenal. Kikosi cha Arsenal kina uwezo kabisa wa kutwaa Kombe lolote. Fans wawateremshie mkong'oto mtaani baadhi ya wachezaji wanaoleta "ujinga" uwanjani.

Brand football ya Arsene Wenger ni tabu kuibua, ina ladha ya kandanda. Kwa wachezaji hakuna kiongozi, anakosekana kiongozi/kiranja imara wa kuifanya timu ijitume ipasavyo uwanjani.
Tazama(kiranja) Morgan wa Leicester utaelewa nini nasema.

CC Enzo
 
Swala la Kujituma linaanzia kwa Mwalimu. AW amefikia ukomo wa uwezo wake. Hana la zaidi la kuwapa wachezaji. Hata akiwa Benchi anaishoa kuchezea zipu tu. Akali imerudi utotoni. Huu ni muda wake wa kucheza na wajukuu zake kama anao.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Vipi Ranieri? Mtamkubali aje Arsenal? Au mnataka kocha wa Tottenham aje Arsenal?
Au mnataka kocha anayefundisha mieleka na rugby?
Mnamkumbuka Mou na Chelsea yake?
 
Vipi Ranieri? Mtamkubali aje Arsenal? Au mnataka kocha wa Tottenham aje Arsenal?
Au mnataka kocha anayefundisha mieleka na rugby?
Mnamkumbuka Mou na Chelsea yake?
Asee bora na iwe hivyo so far there is no any positive so long as Spurs wako juu yake na likely next season watakuwa WAKALI ZAIDI ya hapo

KUJUA MAMBO YAMESHAKUWA MAGUMU ZAIDI KWAKE na WATU WAMECHOKA
______________________

With their Premier League title hopes all but extinguished, the Gunners could face West Brom on Thursday in front of thousands of empty seats due to disillusioned fans

Arsenal could be set for their lowest attendance since the club move to the Emirates Stadium when they face West Brom on Thursday night.

The Gunners have seen their Premier League title challenge collapse in disastrous fashion over the past few weeks and Arsene Wenger & Co. were booed off after Sunday's 1-1 draw with Crystal Palace.

Thousands of tickets are still available for purchase with a little over 48 hours until kick-off, while large numbers of fans have claimed they will not be attending the visit of Tony Pulis's side.

Early indications suggest the Emirates Stadium could be under capacity by up to 20,000 fans - with the maximum likely to be a record low since Arsenal left Highbury in 2006.

Season ticket holders are always included in the attendance figures, but swathes of empty seats are expected to be on show for the crucial game on Thursday evening.

Source: Daily mirror
 
Alishakataa kuwa ataacha Successor

na mambo yanavyokwenda kuna kila dalili hali isiwe nzuri "SUMMER" fans wataleta balaa sio dogo

1. Spurs wana possibility kuwa Champs wako 5 points behind Leicester na Chelsea peke yake ndo Timu ngumu mbele yao kulinganisha na Leicester na Jimmy Vardy kapigwa BAN game 2 mfululizo

2.Spurs kumaliza juu ya Arsenal ni "INSULT" kwa Fans wa Arsenal ukizingatia ni Arch Rivals na wamekuwa Trailing kwa miaka 19 sasa, kumaliza juu yako kisoka wamekufikia UKO LEVEL NAO, fans watalianzisha na Victim ni Arsene wenger

SPURS wanashinda ligi au kumaliza juu ya ARSENAL

I can smell Protests on Mercandises, Season tickets na Boos za kutosha kwa ARSENE WENGER na baadhi ya Under perfomers wake

Ideally Arsene hasiwe mtu mkosa AIBU ajiondoe tu, he will never win it again

uking'ang'anizi ni KUHARIBU LEGACY yake mwenyewe

Mkuu, mambo yameanza na season tickets zote zimerudishwa na zinauzwa kwenye general sales kwa mechi na West Brom siku ya Alhamisi.

Viti karibu 2500 vilikuwa ni vitupu hadi kufikia leo mchana na baadhi ya viti vingine vitakuwa wazi.

Lakini mfumo wa mauzo unaangalia ni tiketi ngapi zimeuzwa badala ya ni viti vingapi hivyo kufanya mgomo huo baridi usilete athari yoyote.
 
Vipi Ranieri? Mtamkubali aje Arsenal? Au mnataka kocha wa Tottenham aje Arsenal?
Au mnataka kocha anayefundisha mieleka na rugby?
Mnamkumbuka Mou na Chelsea yake?

Kama mimi ningekuwa kwenye bodi ya Arsenal basi ningemshauri Arsene apande juu awe mkurugenzi wa mpira na Diego Simeone aletwe Arsenal.

Ukiangalia mpira wa Athletico Madrid na jinsi wanavyocheza na kuzijulia timu kama Barcelona basi utajua kazi ya Diego Simeone.

Ana uwezo wa kuunda kikosi kingine kipya na kikatisha hata kama akina Aguero na Falcao waliondoka kwenye timu hiyo.

Uwezo huo pia anao Pochetino wa Spurs lakini huyo ni ndoto kwa Arsenal kumpata labda wamlipe Zaidi ya Wenger.

Diego Simeone.
 
Inaelekea Wenger ataondoka baada ya msimu ujao. Tumekwisha in both ways.... Wenger Out, Wenger Out, Wenger Out..... See you in August.
Btw wapi Wacha1?
 
Nimefurahi kuona watu wameamua kumfikishia ujumbe kwa vitendo Silent Stan.

Kuwaunga mkono na mm nitazima tv dk ya 78 baada ya wao kutoka kiwanjani

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom