Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimefurahi kuona watu wameamua kumfikishia ujumbe kwa vitendo Silent Stan.

Kuwaunga mkono na mm nitazima tv dk ya 78 baada ya wao kutoka kiwanjani

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Angalia yasitokee kama yale ya Liverpool
 
CYG
Wenger ameamua kuachia "kaharufu" kadogo.

Wenger In, Wenger Out?
cc. Enzo
 
Repoter: Why few number of fans today?

AW: "Eeer...last time i checked it was above 50,000 fans on the field, so thats quite a number...other grounds cant fill their 30,000seats"

Repoter: Fans walked out 75th minute?


AW: "Eer, i didnt see that, I hear this from you, and if its true ...you cant control what people do with their time, its their decision"

Im just trying to see the answers.

He has all the answers on his archives just pick edit and use.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Arsenal lazima washinde hii mechi, kwani bado hawajacheza na Man City.
 
game limekwisha Arsenal 2 West Bromwich Albion 0

Arsenal imerudi nafasi ya tatu huku kukiwa kumesalia mechi nne kwa kila top four teams.
 
Thanx lads kwa kuturudisha nafasi ya 3,next stop sunderland naamini hii game ni ngumu kuliko kawaida tukicheza kama leo hatutopata matokeo chanya.
 
Daaah Babu anamajibu ya karaha sana.

Jana anaulizwa kuhusu watu kususia match anakuambia ratiba ni sababu hawajazoea kuangalia game alhamisi
 
Pamoja na kutamani sana huyu Nduli AW aondoke sidhani kama Board wanawaza haya tunayoyawaza sisi. Binafsi natamani hata leo atoe tamko amenyoosha mikono juu na kuiacha team yetu. Ila amekuwa king'ang'anizi. Na ameahidi kuwa nasi next season.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Tamaa zetu za kutaka Babu atoke zitasubiri sana. Board haina uwezo wa kumwajibisha babu hata kidogo. Kwa sasa presha kidogo anaipata toka kwa mashabiki lkn sio wazee wa mipango na sera.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
All the best Arsenal.
ImageUploadedByJamiiForums1461502282.091357.jpg

COYG...!!
 
HT
Sunderland 0-0 Arsenal
So far Arsenal ame-dominate 1st half ila wenyeji wanalinda kwa taahadhari sana,kwa ujumla game iko ngumu duh hii ndio shida ya kucheza wanaoshuka daraja.
 
Back
Top Bottom