Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Walishapiga. Bila refa kuwabeba wazee wa Panadol ubao ungesomeka Westham 5 - 3 Arsenal. Mshukuru hizo goli mbili zilizokataliwa.
Ivi ni mara ya kwanza goli kukataliwa ndio maana kuna sheria 17 za soka acha mboyoyo.
 
Naipenda Arsenal but at this particular time FACK Arsenal. Go to hell you bunch of chokers,losers... See you next season.
 
I'm Back Again to Vent my frustrations. Though I knew it all along from the beginning of the season. Yeah, *** Arsenal.
#WENGEROUT #WENGEROUT #WENGEROUT. See you next season.
 
Naamini huu ndo msimu wa mwisho kwa Arsenal inayoongozwa na kizee kilichoishiwa mbinu kubaki top 4.
 
Naamini huu ndo msimu wa mwisho kwa Arsenal inayoongozwa na kizee kilichoishiwa mbinu kubaki top 4.
Umesahau kama amewekewa kandarasi ya miaka mitatu zaidi. Ikiwa na maana yupo nasi miaka minne zaidi

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru kwa upenzi wa damu sina hila kwa mtindo huu, hata kama ana share imetosha!!
 
Yani arsenal kile kipindi cha kwanza mlivyopata magoal ya fasta nikajua mmeshinda leo......mwe kweli mpira dakika 90.
 
Umesahau kama amewekewa kandarasi ya miaka mitatu zaidi. Ikiwa na maana yupo nasi miaka minne zaidi

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Ngoja atoke top 4 aitafute nafasi ya 7 au ya 8 ndo tuwaone hao wazee vikongwe wanaoendelea kumweka pale kama wataweza imudu presha kutoka kila upande,,,hata msimu huu natamani sana tutoke top 4.ili kuwe na sababu ya wenger kuondoka.Natamani iwe 1.Leicester 2.Spurs 3.Man city 4.Man u au yoyote akili itarudi.
 
Binafc hyu babu ananiboa sana, aondoke tu
wanaofungwa mbona wengi tu, kuna timu ngapi ziko chini ya Wenger, alazimishwe tu Kroenke amuachie timu kichaa Usmanov...awanunue kina Ronaldo. Sipati picha mtu kama Wenger akabidhiwe Real Madrid itakavyotisha!
 
Wenger hawezi kubadilika akili imefika ukomo hapo.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Mfumo wa wenger kwa wachezaji tulionao wa bei mdogo tutaendelea kulaumu tu, beki za kati na washambuliaji wetu tutasubil sana
 
Broken Egg... Wenger amesema huu ndio utakuwa mwisho wake wa mwisho kukochi Arsenal.
 
Back
Top Bottom