rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Source- Internalanger.rage.disappointment.frustrations.comSource mkuu...
Source- Internalanger.rage.disappointment.frustrations.comSource mkuu...
Hii excuse haina nguvu yoyote kuanzia sasa. Leicester City na Tottenham wamedhihirisha kuwa sio bei ya wachezaji inayo-matter. . Vile vile kuna timu zinazofanya vizuri katika ligi kuliko Chelsea, Liverpool, Manchester United na Manchester City ambazo zinanunua wachezaji cheap. Maybe case ya Tottenham na Leicester ni nadra kutokea katika ligi lakini hatuwezi kui-ignore.Mfumo wa wenger kwa wachezaji tulionao wa bei mdogo tutaendelea kulaumu tu, beki za kati na washambuliaji wetu tutasubil sana
Haliwezi kufa. Tunaugulia tu maumivu kimyakimyaJukwaa limekufa ? Wenger out !Wenger out !Wenger out ! Tukutane next season
Baiskeli Ya mitiTimu yetu mwanzo wa ligi huwa tunafanya vzr sana, lkn mwisho wa ligi tunaharbu sana, na hii ni tangu mwaka 2005, hpa wenger anahusika kwa ℅ kubwa arsenal kupotea mwishoni, kumuondoa wenger hatutatofautiana sana na man u kwa van gaal, lkn kwa zaidi ya miaka 12!, wenger anatuumiza sana mashabiki
Mkuu kilichobaki msimu huu ni kuonyesha hasira zangu. Wenger Out, Wenger out Wenger out. Tunaweza kumaliza nje ya top 4. Aibu sana.Haliwezi kufa. Tunaugulia tu maumivu kimyakimya
Kabisa mkuu, huyu Mzee anatakiwa kupumzika.Mkuu kilichobaki msimu huu ni kuonyesha hasira zangu. Wenger Out, Wenger out Wenger out. Tunaweza kumaliza nje ya top 4. Aibu sana.
Hapo ndio wachache mnaanza kuzinduka vinginevyo kila mwaka mtakuwa mnaugulia maumivu.Kabisa mkuu, huyu Mzee anatakiwa kupumzika.
Tulishazoea kuugulia maumivu lakini inafika kipindi uvumilivu unafika kikomo.Hapo ndio wachache mnaanza kuzinduka vinginevyo kila mwaka mtakuwa mnaugulia maumivu.
Pole sana mtani hiyo hali uisikie tu kwa jirani yaani mnakuwa watu wa kununa tu wenzenu wanacheka.Tulishazoea kuugulia maumivu lakini inafika kipindi uvumilivu unafika kikomo.
Wamerudi nafasi yao pendwa.Hongereni wakuu kwa point 1 na kushikiria nafasi ya √(16)
Link The Chelsea FC Threadunazijua habari za chelsea kuliko za timu yako Arse8888.