Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu hata Messi akicheza timu ya taifa anakuwa mchezaji wa kawaida sn,kwa hii timu yetu utamchukia kila mchezaji mzuri. Sanchez ni mzuri ila anacheza na wajinga wengi,hiv mkuu unategemea tungemtoa barca na hawa kina walcott,chamberlain na Giroud???
Hata ukivaa suti afu ukakaa jalalani watu watakuita kichaa tu.
Sanchez wa msimu huu hasa second round sio Sanchez wa msimu uliopita..! Kwa kiwango anachoonesha ss na uwezo ambao tunafahamu anao ni wazi kwamba ana ttzo, either amechoka yani physical au psychological, na issue sio wachezaji wanaomzunguka coz ndo hao hao alikuwa nao last season na first round, kinachompa namba hadi ss ni record ya uwezo wake ila kwa ss haistahili kuwepo first 11, atokee benchi ili iwe changamoto kwake, wanapigwa benchi kina rooney,hazard, bale,James,kroos wanapokuwa out of form sembuse sanchez
 
Nadhan ana tatizo km ulivosema pia tactically ama psychologically na nadhan ni kawaida sn kwa mchezaji huwez kuwa kwny form mda wote,lkn ht km hayupo kwny form hawa wengine wanazibaje pengo lake?
Mfano kwa barca Messi asipokua vzr,Suarez na Neymar wanashine,ht Iniesta msimu huu hajawa kwny kiwango chake lkn Rakitic na Buscqets wanaziba pengo
 
Hilo ndio swali la msingi ss, tuna wachezaji wachache ambao karibia wote hawana uwezo wa kuziba pengo la Sanchez ila km utamuamisha namba mchezaji na kuona anamuweka nje Sanchez hiyo n bust kwake, kuna watu km welbek na Campbell kwa namna yyte ile ndo wanatakiwa kuwa mbadala wa sachez, Joel amekuwa n mchezaji wa benchi ila kila anapopata nafac anafanya vzr ila hapati support ya Wenger, vivo hvo welbeck cjui kwnn anakuwa anatokea benchi, dawa ya Sanchez ni kutokea sub no matter who started instead of him
 
Yap nakubaliana na ww ht me sijajua kwa nn Wenger anasita kuwatumia hawa watu wawili(welbeck na Campbel) nnacho kiona zama za Wenger zimefka ukingoni hana maono mapya,hiv km msimu huu man u,chelsea,liver na city wote wapo hovyo anashndwa kuchukua ubingwa,leicester ambao msimu uliopita wamekaa kwny relegation zaid ya siku 250 leo wanawania ubingwa na tunawazid financially,experience ya ligi na quality ya kikosi. Wenger hana excuse nyngne apishe tu maana msimu ujao hawa wengne watakaporud kwny viwango vyao tutabak kugombea top ten na kina stoke.
 
Line up against Everton.
Arsenal XI: Ospina, Bellerin, Koscielny, Gabriel, Monreal, Coquelin, Elneny, Iwobi, Ozil, Alexis, Welbeck.

Subs: Macey, Gibbs, Mertesacker, Chambers, Campbell, Walcott, Giroud.
Campbell tena kaanzia kwenye mkeka naamini leo alistahili kuanza hii game ina kasi na tuko gheto kwa watu.
 
Wenger "ameuachia". Wacha1 harufu umekufikia huko uliko?

Tetesi zinasema ulimwalika Kalou kuangalia pamoja mechi za leo.
 
Pointi 3 muhimu,safi sana vijana game ilichezwa vizuri hongera kwa Paulista na Koscielny mmedefend vizuri kwa kumueka Lukaku kapuni,tuangalie game ijayo.
 
ImageUploadedByJamiiForums1458417177.979376.jpg

Hongera dogo mwanzo nzuri(Alexander Iwobi)
ImageUploadedByJamiiForums1458417233.074185.jpg

Alexis akajikuta kakaa kwa mashabiki
ImageUploadedByJamiiForums1458417308.917996.jpg
 
Naona Leicester anajichukulia kombe kiulainiiii
Sio kiulaini wanajituma kama punda anaebeba mzigo wa bwana. Anaamua afe lakini mzigo ufike. Leicester wanajituma na kila mechi hucheza kama ndio fainali, hii ndio kawaida yao hata pale inapotokea siku ni mbaya kwao.
Si kiulani, wakiukwaa ubingwa, unawastahikia kabisa kwa jasho na damu yao.
Wanacheza kama timu na kila mmoja anaitumikia timu na wanashajihishana,wanaelekezana uwanjani.
 
Hili jukwaa linakwendaje, wapenzi wenzangu wa timu ya maumivu mwishoni mwishoni mwa kila msimu?. Bado nipo nipo, nilikuwa napita. Najua #Wasagasumu mnafurahia mnayoyaona. There's always next season.
 
Hili jukwaa linakwendaje, wapenzi wenzangu wa timu ya maumivu mwishoni mwishoni mwa kila msimu?. Bado nipo nipo, nilikuwa napita. Najua #Wasagasumu mnafurahia mnayoyaona. There's always next season.
Tumeshazoea.
 
Wenger out kwa jina la YESU
Hilo Jini bado lipo lipo sana

Valencia last 10 games:
W3 L6 D1
* Neville fired.

Arsenal last 10 games:
W3 L5 D2
* Wenger offered new 3yr contract.

Shame

Haya yanawezekana Arsenal tu

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom