Asernal hufungwa na Barca kwakua walishajiona wao ni wanyonge tu kwa barca. Kama swala kwa simba. Wanafika golini kwa barca lakini wanashindwa wafanye nini maskini. Leo ndio naona Asernal wanapiga mashuti aisee tena ya mbali
hahahaha sheria ya nchi hairuhusu kuingia kwenye nyumba ya mwenzio bila ruhusa huo wizi ebu waacheni wana arsenal jamani naona mnachat mashabiki timu nyingne kwenye uzi wa arsenal muwe na huruma