Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siyo kikombe tu, wasipokuwa makini usishangae wakakosa top 4. Sababu kiporo cha city akishinda anamshusha nafasi ya nne. Hapo kuna hammer na united wanakuja kwa kasi ya ajabu....


NaiOna arsenal ikiishiwa pumzi.

Cc: Wacha1
Arsenal hawatoki Top 4 haitokei

Afu kaangalie tena Fixture ya United ilivyo ngumu kupita maelezo utaona kuwa manure kuna % kutokuioa Top 4

Westham wataishia huko nje....Run ins za mwisho ndo Wakubwa wanajipanga vyema pale juu
 
Happy B'dei mtu mzima,duh hii bukta sijui kakata na wembe uyu ndio Mathieu Flamini.
ImageUploadedByJamiiForums1457375430.120698.jpg
 
Arsenal hawatoki Top 4 haitokei

Afu kaangalie tena Fixture ya United ilivyo ngumu kupita maelezo utaona kuwa manure kuna % kutokuioa Top 4

Westham wataishia huko nje....Run ins za mwisho ndo Wakubwa wanajipanga vyema pale juu
Tatzo lako unajiaminisha sana, mambo yakienda mrama, hizi kauli mnazisahau
 
Tuko ugenini kwenye uwanja wa Kingston Communications hii second leg baada ya sare ya game ya kwanza tunasaka nafasi ya kusonga mbele kwenye FA Cup.
Referee ni Kevin Friend na game ni saa 4:00 usiku kwa saa za kwetu Ozil na Sanchez wameanzia benchi
ImageUploadedByJamiiForums1457462229.867444.jpg

Mungu Ibariki timu yetu ya Arsenal
COYG......!!
 
sasa wakuu leo nashinda jukwaani dakika 90!....

I hope vijana hawatatuangusha....

COYG!
 
Looks like we're through kwa round ya sita(6).
Theo Walcot anapachika kamba ya 3.
 
Dakika ya 88 Walcot anapasia kamba ya 4.
FT
Wao 0-4 Arsenal
Tumeshinda ila game imesababisha majeruhi wa kutosha kuanzia Per,Paulista na Ramsey sijui itakuaje next game kwenye FA ni Watford.
 
Haaa haaa Asante sana mkuu kidogo The Tigers wale kiganja leo,ila tuna msala mpya wa majeruhi watatu game ya leo tu na tumebakiza siku 7 tuelekee machinjioni duh Mungu nusuru.
Hakuna serious injuries according to AW
 
Leo mmuangalie Chelsea anavyoaga nyumbani kwake, kisha next week na ninyi muage mashindano rasmi.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom