Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger asipoondoka ubingwa tusahau, labda Emirates Cup!!!!

Hii ligi mwaka huu kuna hatari ngoma ikaenda hadi mwisho game ya mwisho

sina hakika sana kama Lester wanaweza kuhandle pressure hasa ambapo kila mtu anawaona ni Real tittle contenders

maana ana fixture nyepesi on PAPER lakini timu ndogo saivi zinawachukulia kama BIG GUNS wanaingia na set up ya kuwazuia wasifunge, point moja timu ndogo kuipata kwa lester ni MASSIVE kwa miez hii

Spurs nae baada ya leo wanayo kazi ngumu anacheza na Borrusia dortmund ndani ya wiki mbili, ana Manure,liverpool,stoke,chelsea na WBA

safari bado iko wazi lakini UKWELI NI KUWA UBINGWA NI WA LEICESTER KUUPOTEZA mwenyewe
 
wakali wa kumbukumbu na rekodi mnakumbuka mara ya mwisho ni lini mlicheza na tottenham wakiwa wako juu yenu katika msimamo/league table???

.........hawana muda hawa Spurs wataporomoka huko juu,....
Games zao zinazofuata ni pamoja na Versus Chelsea, Liverpool na Man United.

Leicester leo wakiteleza tu, waanze kuhesabu majipu!,.....tutawakuta tu.

COME ON ARSENAL!!!
 
Hili kombe mwisho wa siku watachukua Mancity!
Leo tumecheza vizuri isipokuwa immaturity ya Coqulin iliwarudisha Spurs mchezoni na pia refa hakuwa consistent.
Fighting spirit kama hii tungekuwaga nayo kila mechi, angalau washabiki tusingekuwa tunalalamika.
Nimevutiwa hadi na Per.
Sitaongea ya Wenger tena maana msimamo wangu ni AACHE TIMU.
 
Hii ligi mwaka huu kuna hatari ngoma ikaenda hadi mwisho game ya mwisho

sina hakika sana kama Lester wanaweza kuhandle pressure hasa ambapo kila mtu anawaona ni Real tittle contenders

maana ana fixture nyepesi on PAPER lakini timu ndogo saivi zinawachukulia kama BIG GUNS wanaingia na set up ya kuwazuia wasifunge, point moja timu ndogo kuipata kwa lester ni MASSIVE kwa miez hii

Spurs nae baada ya leo wanayo kazi ngumu anacheza na Borrusia dortmund ndani ya wiki mbili, ana Manure,liverpool,stoke,chelsea na WBA

safari bado iko wazi lakini UKWELI NI KUWA UBINGWA NI WA LEICESTER KUUPOTEZA mwenyewe
We jamaa hii kauli imetoka kinywani mwako? Can't blive it, kwahyo nyie mmeshajitoa?

Natamani nizirudishe zile kauli zenu za nyuma, ila basi tyu.
 
.........hawana muda hawa Spurs wataporomoka huko juu,....
Games zao zinazofuata ni pamoja na Versus Chelsea, Liverpool na Man United.

Leicester leo wakiteleza tu, waanze kuhesabu majipu!,.....tutawakuta tu.

COME ON ARSENAL!!!
Spurs toka miaka ya 60s hajawahi maliza juu ya Arsenal. Hivyo kwa zama hizi, hawezi chukua kikombe cha epl wakati Arsenal ipo, na wakiwa wa pili HAMNA JINSI, hata kama hatuko ktk form itabidi tuchukue tu ubingwa, Spurs xmas imeshaisha, sasa wanarudi wanakosyahili
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hii ligi mwaka huu kuna hatari ngoma ikaenda hadi mwisho game ya mwisho

sina hakika sana kama Lester wanaweza kuhandle pressure hasa ambapo kila mtu anawaona ni Real tittle contenders

maana ana fixture nyepesi on PAPER lakini timu ndogo saivi zinawachukulia kama BIG GUNS wanaingia na set up ya kuwazuia wasifunge, point moja timu ndogo kuipata kwa lester ni MASSIVE kwa miez hii

Spurs nae baada ya leo wanayo kazi ngumu anacheza na Borrusia dortmund ndani ya wiki mbili, ana Manure,liverpool,stoke,chelsea na WBA

safari bado iko wazi lakini UKWELI NI KUWA UBINGWA NI WA LEICESTER KUUPOTEZA mwenyewe
Na katika mechi hizo za mwisho yaani mechi ya 38 kwa kila timu, mechi zitacheza muda mmoja hivyo kabla ya kipenga cha mwisho kuna uwezekano timu kama tatu au nne zikawa bingwa kwa nyakati tofauti kutokana na matokeo kabla ya bingwa rasmi kupata kupatikana.
 
We jamaa hii kauli imetoka kinywani mwako? Can't blive it, kwahyo nyie mmeshajitoa?

Natamani nizirudishe zile kauli zenu za nyuma, ila basi tyu.
No hujanielewa

EPL mwaka huu ni Full drama

ila Kiukweli Leicester wana % kubwa ya kuubeba

Arsenal, spurs na City wote wako in the mix
 
Spurs toka miaka ya 60s hajawahi maliza juu ya Arsenal. Hivyo kwa zama hizi, hawezi chukua kikombe cha epl wakati Arsenal ipo, na wakiwa wa pili HAMNA JINSI, hata kama hatuko ktk form itabidi tuchukue tu ubingwa, Spurs xmas imeshaisha, sasa wanarudi wanakosyahili

wewe washamaliza bana 94-95, sema triumph ya league ndo ilikuwa 1964
 
REPORTER: How about winning the EPL this year?

WENGER:

12795505_1723807410992801_198492086386151559_n.png
 
Back
Top Bottom