Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Red card kwa Le Cocq duh uyu Michael Oliver kama kaleta mahaba,
1-1 dakika ya 59
 
Officialy we're fucked up,hatuwezi kukomaa na Spurs hii tukiwa one man down duh so sad.
Spurs 2- 1 Arsenal
Looks like wanaweza kupata goli zaidi.
 
Hurereeeeee arsenal sio baba yangu wala mama yangu nitahama tuu maana hata hivyo hamna namna zaidi ya kuhama.
Kichapooooo heviiiiiiiiiii teh teh
 
Officialy we're fucked up,hatuwezi kukomaa na Spurs hii tukiwa one man down duh so sad.
Spurs 2- 1 Arsenal
Looks like wanaweza kupata goli zaidi.
How's the game man? Kuna dalili za kutoa hiyo aibu??
 
Bravo lads i'm so proooooouuud of you,draw is enough for today mmepigana sana kupata matoke ya leo.
 
Back
Top Bottom