mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,755
sasa kocha unapewa hela ya kusajili huitumii, then unategemea nini
sasa kocha unapewa hela ya kusajili huitumii, then unategemea nini
vs spurs jmosi........kamanda upo? Bado mechi kadhaa bana, NEVER SAY NEVER japo mnh, kweli inauma na huyu mzee anatupa presha mwaka wa kumi sasa...
........6pts sio nyingi ki viiile, fumba na kufumbua Leicester 'bubble' ita burst, na hawa Spurs hawanaga jeuri ya kumaliza ligi above us!.....
We will win EPL in style,.....kina Nzi, Belo na wenzao si mnawajua? .....tukishinda kiulaini watasema ..."Oohh, mmewaonea kwakuwa Chelsea & Man City were Shit!".... Tutavyoshinda KWA KISHINDO pia hawatakosa la kukosoa...
[HASHTAG]#ComeOnYouGunners[/HASHTAG]!!!
YES,....[HASHTAG]#TogetherWeStand[/HASHTAG]!
Hamfungwi bhana leo...mnashinda hii gemu yenu kabisaSijui kesho tutafungwa ngapi? Nasubiri msimu ujao [HASHTAG]#ShutUpmburukenge[/HASHTAG] wote.