Sanchez hana tofauti na Walcottwachezaji wenye hadhi ya kucheza asenali mnayoitaka ni OZIL, SANCHEZ,BELLERIN,CECH NA COQ Basi wengine hao hamna kitu
Alan Shearer's view:Sio kwangu, labda mashabiki in plasic, iko obvious Arsenal kuchukua epl under Wenger zama zilishapita!
NATHUBUTU KUSEMA, MIMI NI ARSENAL ILA KAMA TUTAQUALIFY ECL, mdau yeyote anichagulie adhabu! Nitaifanya kwa nidhamu ya hali ya juu.
Hata sisi hapa JF tunajua Arsenal atakukuruka kitafika kipindi fulani atafungwa mechi mbili tatu mfululizo confidence inapotea anaanza kufight nafasi ya nne....ndivyo ilivyo kwa miaka 10 sasa hiviAlan Shearer's view:
The Match of the Day pundit says Arsenal's problems are nothing new.
"There is a lack of fight, lack of leadership," he said. "The same questions are hanging over them. Arsenal's issues have been repeated over and over." Chanzo: bbc sport.
Yamekuwa hayo? Zile ndoto za trebble zimeshayeyuka?ARSENAL are the biggest choking team in the world. Wenger out out out in the name of Jesus. Nasema haya kwa moyo mkunjufu na upendo
Duh walikua na ndoto za treble??Yamekuwa hayo? Zile ndoto za trebble zimeshayeyuka?
Hadi Alexis Sanchez kasema hivyo.Alan Shearer's view:
The Match of the Day pundit says Arsenal's problems are nothing new.
"There is a lack of fight, lack of leadership," he said. "The same questions are hanging over them. Arsenal's issues have been repeated over and over." Chanzo: bbc sport.
Sio kweli, tumewahi muona Sanchez akiwa ktk ubora wake, baada ya kuumia sasa hivi bado anastruggle kurudi ktk form, ila form is temporary but class is permanent.Sanchez hana tofauti na Walcott
Msimu huu Sanchez hana tofauti na Walcot na muda unavyokwenda anazidi kuchemsha,spirit aliyokuja nayo imeshapotea.Hiki ndio kipindi ambacho alipaswa kuonyesha tofauti na hao kwenye kina WalcottSio kweli, tumewahi muona Sanchez akiwa ktk ubora wake, baada ya kuumia sasa hivi bado anastruggle kurudi ktk form, ila form is temporary but class is permanent.
Theo Walcott HATUJAWAHI muona ktk ubora wake, tunaambiwa tu na media za Uk na Wenger kuwa ana potentials na pia uk media zilikuwa zikimremba kiwa Theo Walcott is the FASTEST player in Arsenal history ktk mbio ila baada ya record yake kuvunjwa na Bellerin, hawaongei tena kuhusu hiyo "potential".
Wachezaji ambao ni world class wa Arsenal ni Sanche, Cech, Ozil tu, ILA Bellerin, Monreal na Kolsieny are good but not good enough. Wengine hasa waingereza ni super average at their best!
Ramsey had one good season, media za Uk zikaanza sema Barca wanamtaka, sasa hivi amekuwa kama puto lililotobolewa, hawezi kukaba,hawezi kupasi, hawezi kukaa na mpira!
Mwingine anayejitahidi sana ingawa sio world class ni Jael Campbell, unamuona uwanjani anavyoipigania jezi ila kama ana watu kama kina OG kila akipoteza mpira anaangalia juu, wapi na wapi! Inatakiwa UNIT, a chain is as strong as ita weakest link=kapingili kamoja ka mnyororo kakiwa kabovu, hauvuti kitu, mnyaroro utakatika tu!
Ramsey na The Ox wanaongoza kwa selfies.
hahahahahahaaaateh teh teh teh
ARSENAL are the biggest choking team in the world. Wenger out out out in the name of Jesus. Nasema haya kwa moyo mkunjufu na upendo
Mwingine anayejitahidi sana ingawa sio world class ni Jael Campbell, unamuona uwanjani anavyoipigania jezi ila kama ana watu kama kina OG kila akipoteza mpira anaangalia juu, wapi na wapi! Inatakiwa UNIT, a chain is as strong as ita weakest link=kapingili kamoja ka mnyororo kakiwa kabovu, hauvuti kitu, mnyaroro utakatika tu!
Ramsey na The Ox wanaongoza kwa selfies.
ww jipe moyo tu, mwisho wa siku ligi imeisha upo nafas ya 7 kwny msimamo.. fukuza babu yule hana jipya tena.........kamanda upo? Bado mechi kadhaa bana, NEVER SAY NEVER japo mnh, kweli inauma na huyu mzee anatupa presha mwaka wa kumi sasa...
........6pts sio nyingi ki viiile, fumba na kufumbua Leicester 'bubble' ita burst, na hawa Spurs hawanaga jeuri ya kumaliza ligi above us!.....
We will win EPL in style,.....kina Nzi, Belo na wenzao si mnawajua? .....tukishinda kiulaini watasema ..."Oohh, mmewaonea kwakuwa Chelsea & Man City were Shit!".... Tutavyoshinda KWA KISHINDO pia hawatakosa la kukosoa...
[HASHTAG]#ComeOnYouGunners[/HASHTAG]!!!
YES,....[HASHTAG]#TogetherWeStand[/HASHTAG]!
ww jipe moyo tu, mwisho wa siku ligi imeisha upo nafas ya 7 kwny msimamo.. fukuza babu yule hana jipya tena.