Tupo mkuu...Leo si mmefiyadiwa tena......Hivi mlotufata kwenye Uzi wa barca mbona hamji tena

Nilisema hiki ndio kipindi chenu cha kupoteana, naona sasa unanielewa. Next Spurs mnamalizana wenyewe Leicester anasogea taratiiiibu...The race is over .....Arsenal coach and players look like they do not want this Crown
Arsene wenger this will hunt him surely, and he has no where to hide now, no excuse in this type of perfomances
Yamekuwa hayo?! ila mna short memory akishinda game mbili tatu zijazo mnasahau mnaanza tena kumtukuza!Ghafla, KIKOMBE CHA WENGER KIPO JATARINI KABISA, hii ndo njia pekee ya kujua HAFAI. Kukosa top 4, iam praying for that.
Hahahaaaaa....bado next week Tottenham anawadokoa.....pole mkuuweak end hii arsenal tunarud kileleni
Mkuu umeshakata fimbo au nije na Rashford akawasaidie kuchapa?Leo wakichemsha kwa Swansea ni bakora tu. Tuataanza na huyo babu..
Hapana inaonekana Chelsea anaweza kufanya miujiza na kuingia top 4 au top 6 kwa jinsi "anavyokunywa uji". Mimi si shabiki wa Yokohama lakini inaonekana wazi kuna mabadiliko daraja bovu.Mgonjwa kanywa uji imekuwa sherehe?
Bussiness as usual.....it's arsenal's normality.....The race is over .....Arsenal coach and players look like they do not want this Crown
Arsene wenger this will hunt him surely, and he has no where to hide now, no excuse in this type of perfomances
Yamekuwa hayo?! ila mna short memory akishinda game mbili tatu zijazo mnasahau mnaanza tena kumtukuza!
Hodi hodi. Nimekuja na panadol na Hedex kwa mwenye kuzihitaji.Hiki kizee kikiendelea na timu msimu ujao,,itabidi wenye imani ya kwenda kwa mganga wamuulizie huyo mganga wake.Maana katuroga mpaka tulio mbali.
Kwa relegation fight form yetu ya sasa, SIO RAHISI. Umeona mechi zetu zilizobaki? Tunatakiwa kuwafata watu wanaotaka point kwa ajili ya kuingia UCL na Europa. Hizi time tunazifuata, Spurs, West Ham, Everton, Mancity na pia kuna wanaopigana kufa na kupona wasishuke daraja, ingawa nasi tulitakiwa kupigania kitu, ila hatuna spirit na urgence, hivyo naona wengine wenye nia wakipata watakacho toka kwetu!jitahidini UEFA mnaweza labda mkatoboa.
Ubingwa haupo, sasa hivi ni kuwa na wasi wasi on kikombe cha Wenger.Hodi hodi. Nimekuja na panadol na Hedex kwa mwenye kuzihitaji.
Prof. Wenger amesema "fans" wa Arsenal wadumishe amani na utulivu kama watanzania. Na wawe na imani na kukiunga mkono na kukipenda kwa moyo wote kikosi cha Arsenal.
msikate tamaa bana, tofauti ni points 6 tu, Totteham ameangukia pua leo, pia Man City. Ligi inazidi "utamu" Leicester atapoteza michezo miwili na sare 2 tu kati ya iliyobakia. Sasa hapo pigeni mahesabu yenu.