Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado ni ukosefu wa akili kudhani kuwa Arsenal chini ya Wenger inaweza kwa namna yoyote kufanikiwa. Huyu mzee ashadumaa akili, ila nadhani Management board ya Arsenal ndo imedumaa zaidi, these guys allow Wenger to keep doing same things in the same way and expect different results.... This is insanity!!!!!
 
Arsenal sio baba yangu, Arsenal sio mama yangu natarajia kufanya maamuzi magumu
 
These are the other names for Arsenal football club: Choking FC, aka "The Chokers," Bottling FC, aka "The Bottlers"😛😛
 
The race is over .....Arsenal coach and players look like they do not want this Crown

Arsene wenger this will hunt him surely, and he has no where to hide now, no excuse in this type of perfomances
Kheee kheeee kheeeeeeee, kumbe mmetandikwa? Peter cech atamis derby
 
Sio kwangu, labda mashabiki in plasic, iko obvious Arsenal kuchukua epl under Wenger zama zilishapita!
NATHUBUTU KUSEMA, MIMI NI ARSENAL ILA KAMA TUTAQUALIFY ECL, mdau yeyote anichagulie adhabu! Nitaifanya kwa nidhamu ya hali ya juu.
Pole. Azabu nitakayo kupa ni kuva jezi ya man u na kuishabikia msimu mzima[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Poleni arsenal.....nyie uwa mna kasemba moja mkianzaga mwaka ni kufungwa kwa kwenda mbele.....sijui mapilau ya xmass na mwaka mpya uwa yanawaathiri......
 
Poleni majirani kweli inakera ila wahenga wanasema"tikiti bovu lipo shambani mwako"so hakuna namna nasi kama waungwana tumekuja kuwapa pole.
 
Subiri ashinde mechi mbili tatu mfululizo then rudi hapa na hayo maneno.


Hahaha mashabiki wa Arse8 wanafurahisha sana.

Mzee wa kucheka sijamwona muda sasa...hawa jamaa huwa wana haiba za Kihehe..sijuiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom