wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
Kwenye futuhi sikuachi aiseeeHahahahaha best kweli wabovu Ila umenipa ushindi wa point Sita msimu huu na Magoli ya kutosha tu hahahaha tukutane kny futuhi tulicheze goma ....
Kwenye futuhi sikuachi aiseeeHahahahaha best kweli wabovu Ila umenipa ushindi wa point Sita msimu huu na Magoli ya kutosha tu hahahaha tukutane kny futuhi tulicheze goma ....
Kama kawa Kama dawa Mteja Kwetu ni mfalme....Kwenye futuhi sikuachi aiseee
Usinikimbie mtaniKama kawa Kama dawa Mteja Kwetu ni mfalme....
Itisha MaxshimbaPole sana Kama ni kila mwezi wa pili na watatu Mna laana inawafatilia ,itabidi tuwatafute watumishi waje washushe maombi hapo......
Leicester City kachechemea jana kazi kwenu kupunguza gap!Leo wakichemsha kwa Swansea ni bakora tu. Tuataanza na huyo babu..
Chelsea amefufuka, angalia nyuma yako.Leicester City kachechemea jana kazi kwenu kupunguza gap!
Nipo nimejaa teleJamani nimekuja kuwatembelea rafiki zangu kashengo vipi hili limekuwa kubwa sana kiasi huwezi kulibeba?mi najua we ni mwanasoka si shabiki tu karibu tena jukwaani.
Hongera rubaman japo kiroho ngumu umejitokeza.
Wacha 1 yaani nimekumiss sanaaaaaaaaaaaa siyo vizuri kukimbia jukwaa lako pendwa Njoo tu maisha yanaendelea....
McDonald Jr wapi wewe??? Njoo bana tujadili soka ya OT yamepitaa........
Mgonjwa kanywa uji imekuwa sherehe?Chelsea amefufuka, angalia nyuma yako.
Naona umekula maneno yako......commentators be like 'rashfoooooooooooooooooooooord....two nil man utd' khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeNipo nimejaa tele
kupotea na kurudi hapa jukwaani ni kawaida yangu si sababu ya defeat
Ile defeat itatuamsha, thou ilikuwa boring boring, tushasahau we are back on next game tonight
Wacha1 atakuwa na jambo limemkuta hajaonekana kitambo sana
All in all Tittle race is still wide open
city akishinda leo anaingia katika mix, lester wanaonekana wata fade out soon
The race is over .....Arsenal coach and players look like they do not want this Crown
Arsene wenger this will hunt him surely, and he has no where to hide now, no excuse in this type of perfomances