Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie jamaa noma kweri, juzi tu hapa mlikuwa mnamsifia Leo hii hafai?? Kwerii???
Mkuu kuna washabiki wa Arsenal hawamjui wenger lakini sio mimi,,sijipagi matumaini tena,,mwisho ilikuwa 2007,,baada ya pale niliamini wenger hatufai tena labda akawe mwalimu wa saikolojia au akafundishe umeme.Na bado msimamo wangu ni huo tu mpaka kesho.Arsenal inahitaji akili mpya toka siku nyingi.
 
Mlikua mnasaidiana na jamaa mmoja anaitwa mkoPoka ( sorry kwa kukuita jamaa) kumkataa Mr bean lakini mlionekana wasaliti.
 
Prof Wengewenge kaweka akili za ArsayNO fans mfukoni...matokeo yake hawasikii wala hawaoni kitu!!!
 
Mlikua mnasaidiana na jamaa mmoja anaitwa mkoPoka ( sorry kwa kukuita jamaa) kumkataa Mr bean lakini mlionekana wasaliti.
Leo nimemsoma Paul Merson anasema Tottenham au Leicester wakichukua ubingwa Wenger afukuzwe maanake kisingizio chake cha kuwa na bajeti ndogo hakina uzito tena.

Pia akaongeza kuna maelfu ya makocha duniani ukiwaahidi 10m pounds wataifikisha Arsenal top four kwahio hamna cha ajabu anachofanya! Na kama nilivyosema awali wataalamu wengi wa soka wamesema hivyo hivyo Arsenal waliingia OT wakiwa washajihakikishia ushindi vichwani mwao!
 
Kama unashindwa kuifunga Man Utd Mbovu kama hii utaifunga Man Utd ipi sasa!??
Ramsey na Walcot wanacheza chini ya kiwango Kocha kaishiwa mbinu!!
 
Kwa nini unichagulie timu? Lete "ushahidi" wako wa post inayoonesha mimi ni Arsenal. Nina uhakika hukufahamu niliyoandika.
Hata Mimi kuna njemba ilinipakazie eti Mimi ni ArsayNO The Mandaz....Hawa jamaa mambo yakianza kwenda kombo akili zinawaruka na kufikiri kila MTU anashabikia timu ya pacha wake Mr Bean
 
Kama unashindwa kuifunga Man Utd Mbovu kama hii utaifunga Man Utd ipi sasa!??
Ramsey na Walcot wanacheza chini ya kiwango Kocha kaishiwa mbinu!!
Waingereza wote wa Araenal ukitoa Welbeck ni pumba! TW ni shit kabisa, hana footballing brain.
 
Arsenal haitakuja kuwa bora na haitakuja kutwaa ubingwa hadi pale wenger atakapoondoka, tatzo la arsenal ni wenger wala sio wachezaji,. Wenger atimuliwe kwa manufaa ya arsenal
 
Leo nimemsoma Paul Merson anasema Tottenham au Leicester wakichukua ubingwa Wenger afukuzwe maanake kisingizio chake cha kuwa na bajeti ndogo hakina uzito tena.

Pia akaongeza kuna maelfu ya makocha duniani ukiwaahidi 10m pounds wataifikisha Arsenal top four kwahio hamna cha ajabu anachofanya! Na kama nilivyosema awali wataalamu wengi wa soka wamesema hivyo hivyo Arsenal waliingia OT wakiwa washajihakikishia ushindi vichwani mwao!
Huyu Paul merson mi namuona ni moja ya pundits wa hovyo kabisa, amekalia unazi sana, Mara nyingi amekua anamu-attack sana piers Morgan Twitter, naona saizi yamemshuka,

Mashabiki wengi wa arsenal hawampendi huyu Morgan sababu jamaa huwa anamchana kweli Wenger, ngoja tusubiri mwaka huu ikitokea hawajachukua watasingizia nini.
 
Msisahau kwamba ni Arzene Wenger ndiye aliyeipa Arsenal umaarufu mkubwa. Mashabiki wengi wa Arsenal wanahofia maisha yatakavyokuwa pale Emirates stadium baada ya Wenger kuondoka, watakuwa wakiwa sana na ndio maana hawapo tayari kuona Wenger anaondoka.I am telling you guys,Wenger's shoes are too big for another coach to fill.

kashengo rubaman Wacha 1 rudini tu jukwaani ni mpira tu huwa unadunda!
Hahahahaha sijui mlituoteaje juzi. Anyway, imethibitisha nilichokuwa nasema msimu mzima kuwa hatutabeba kombe. Aibu sana kwa Arsenal, Chelsea, United, Liverpool, Citey kuona Spurs na Leicester City mmoja wao akibeba kombe. Msimu huu lazima uwe wa mwisho wa Wenger Emirates. Akiendelea kuwa Arsenal nitajiunga na Wenger Out Brigade.
 
Msisahau kwamba ni Arzene Wenger ndiye aliyeipa Arsenal umaarufu mkubwa. Mashabiki wengi wa Arsenal wanahofia maisha yatakavyokuwa pale Emirates stadium baada ya Wenger kuondoka, watakuwa wakiwa sana na ndio maana hawapo tayari kuona Wenger anaondoka.I am telling you guys,Wenger's shoes are too big for another coach to fill.
Ni kweli wenger ndo alieipa timu mafanikio ila nyakati zimebadilika sana ukitizama tatizo la arsenal sasa hivi ni nini?nadhani wenger kafika mwisho wa mafanikio yake walete mbadala ila hilo la arsenal bila wenger ndo kizungumkuti kama kilivyotukuta man u.
 
Hahahahaha sijui mlituoteaje juzi. Anyway, imethibitisha nilichokuwa nasema msimu mzima kuwa hatutabeba kombe. Aibu sana kwa Arsenal, Chelsea, United, Liverpool, Citey kuona Spurs na Leicester City mmoja wao akibeba kombe. Msimu huu lazima uwe wa mwisho wa Wenger Emirates. Akiendelea kuwa Arsenal nitajiunga na Wenger Out Brigade.
Kumbe kuna ushindi wa kuotea
Mlikuwa mmesimama wakati Rashford akifanya yake?
 
Arsenal kila mwaka mwezi wa pili na wa tatu ni kama mwezi wa marejesho, HW THE FVCK WE GO THROUGH THE SAME THING OVER AND OVER FOR A DECATE?! And the specialist in failure in his post match interview, Manu vs Arsenal that ended to a humilialing defeat to Arsenal, losing 3-2 to an under strengh United side, THAT HAD CARRICK as a center back CLAIMS that the SPIRIT AND COMMITTMENT WAS THERE?? WTF?? I didnt se no damn spirit and commitmemt from nobody BUT Welbeck, Cech and Monreal!
Nafikiri na Sanchez ameona ni upumbavu sasa kujituma wakati wengine wanakimbia kimbia tu kama headless chicken, for a couple of games now, he's become a typical Wenger's player, NO COMMITMENT, NO DESIRE, NO SPIRIT, LOSS OF POSSESSION etc!

Wachawi wa Arsenal ni Wenger, Kronke na british core players. I wish Usanov could be the majority shareholder, but i'll keep on wishing!!! Dude is hungry but his hands are tied.

Tunakuwa a laughing stock sasa, tukishinda mechi moja kubwa, Ozil na british core players WANAJAZA SERVERS ZA INSTAGRAM kwa vi selfie!
Bullshit, FVCK THIS, Damn it!
Pole sana Kama ni kila mwezi wa pili na watatu Mna laana inawafatilia ,itabidi tuwatafute watumishi waje washushe maombi hapo......
 
Kama unashindwa kuifunga Man Utd Mbovu kama hii utaifunga Man Utd ipi sasa!??
Ramsey na Walcot wanacheza chini ya kiwango Kocha kaishiwa mbinu!!
Hahahahaha best kweli wabovu Ila umenipa ushindi wa point Sita msimu huu na Magoli ya kutosha tu hahahaha tukutane kny futuhi tulicheze goma ....
 
Jamani nimekuja kuwatembelea rafiki zangu kashengo vipi hili limekuwa kubwa sana kiasi huwezi kulibeba?mi najua we ni mwanasoka si shabiki tu karibu tena jukwaani.

Hongera rubaman japo kiroho ngumu umejitokeza.

Wacha 1 yaani nimekumiss sanaaaaaaaaaaaa siyo vizuri kukimbia jukwaa lako pendwa Njoo tu maisha yanaendelea....

McDonald Jr wapi wewe??? Njoo bana tujadili soka ya OT yamepitaa........
 
Lol mchokozi sana wwe bidada
 
Back
Top Bottom