Arsenal ipi iyo unayoizungumzia.?Arsenal wamecheza vizuri sana leo na timu bora duniani.
Lakini ni mpaka pale Arsenal itasajili class centre forward na class central defender hatutaweza kucheza kwa kujiamini na timu kama Barcelona.
hii game hatufungwi ...Haters Jiandaeni kulikabili hilo
Hii game hatufungwi....hii game tunacheza compact na kuvizia Counter attacks kama tulivyoipiga bayern 2-0 mismu huu huu UCL
kuna tofauti ya Kuwafunga Barca na kuwatoa in two legs...hii game wako England ni ngumu kwao aidha sare au Kipigo
issue ni kumaliza second leg kule Camp nou ndo itakuwa hatari...
You silence suereza then you have chance of 51% of silencing Messi and Neymar
najua humu tutabaki anti-arsenal tu
Teh teh teh teh biashara imeisha wakuuSasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
Uwezekano wa kuwafunga upo kabisa
Shukrani sana naomba utoe tangazo kua hakutakua na matanga tunawanyika hapahapa makaburini na hakuna sababu ya kuweka kigodoro ni vibayapole best angu....
Wewe hauko serious....umembana nani kwa dakika 70??!!! Anaebanwa ana control game kwa 72%??!!! Anaebanwa anapiga pass 299 kwa 99???!! Sema tulijitahidi kuzuia goli kwa dakika 70. Na mngekuwa na wale makipa wenu wa pound 150,000 saa hizi tungekuwa tunaongea mengine.Mkuu, usiwe arrogant hivyo.
Ukisema hivyo (stupid Arsenal) unakosea, hii ni game, art na ufundi.
Ni mbinu za mchezo, goli la kwanza ni kosa la high pressing na tukafungwa kwa counter attack, hio ni level ingine kabisa.
Goli la pili ni individual error ambayo beki yoyote anaweza akafanya.
Hivyo ndivyo mpira ulivyo na Barca wameshinda kwa ubora wa MNS wao lakini tuliwabana kwa dakika 70.
Nafikiri sisi ndo timu pekee WE MEVER LEARN FROM OUR PAST MANY MISTAKES!
Tulitaka kucheza defensive game ambayo hata dhidi ya EPL teams huwa hatuwezi against a very good side.Arsenal wamecheza vizuri sana leo na timu bora duniani.
Lakini ni mpaka pale Arsenal itasajili class centre forward na class central defender hatutaweza kucheza kwa kujiamini na timu kama Barcelona.
Suala leo ilkuwa na magoli maangapi sio kufungwa! Kuna jamaa alisema 'leo mnachinjwa bila ganzi na mtapiga sana yowe'Shukrani sana naomba utoe tangazo kua hakutakua na matanga tunawanyika hapahapa makaburini na hakuna sababu ya kuweka kigodoro ni vibaya
Ishu ni Wenger, waombe huyu babu aachie timu nasi tupitie kipindi cha mpito, kisha maisha yaendelee!Msiba au View attachment 325057
Amekufa mkuu 2-0...........Aisee Mkuu mi ninamtazamo tofauti kabisa gunners hawezi kufa