sam oldskool
Member
- Oct 17, 2014
- 19
- 5
Naombeni wimbo wa Arsenal.
Mechi iko vipi kwa ujumla kipindi cha kwanza?HT
Arsenal 0-0 Hull City
Hahaaaa hii mechi naitamani sana.......
Hahaaaaa leo bunduki mmezipiga vibaya.........FT
Arsenal 0-0 Hull City
Pamoja na ku-create nafasi nyingi tumeshindwa kupata goli inabidi tusubiri marudiano.
Ikifyatuka haikuichi mzimaBunduki mpaka sasa hivi zinatoa maji.......
Zinafyatuka ila zinatoa majiIkifyatuka haikuichi mzima
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Mkuu hatukutaka kutumia nguvu nyiingi ndo mana tumewaweka kiporo ngoja tumalzane na barca kwanzaMmeshindwa kuwafunga hull city emirates,![]()
![]()
![]()
![]()
Msijali mtaenda kumalizia hasira zenu kwa Barcelona.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kila la kheri wakuu kwenye hiyo safar yenu......Mkuu hatukutaka kutumia nguvu nyiingi ndo mana tumewaweka kiporo ngoja tumalzane na barca kwanza
Shukrani sana naamin tutaivuka salama2Kila la kheri wakuu kwenye hiyo safar yenu......