hivi eduardo nae alifanyiwa hivi manake sikumbuki kama alifanyiwa hivi au kipindi kile kulikuwa na mpasuko ulioletwa na gallas na sasa ni umoja unaoneshwa?![]()
Arsenal v Burnley: The Arsenal team wear 'Get Well Soon Aaron' t-shirts for team-mate Aaron Ramsey before their Premier League match against Burnley at the Emirates
hivi eduardo nae alifanyiwa hivi manake sikumbuki kama alifanyiwa hivi au kipindi kile kulikuwa na mpasuko ulioletwa na gallas na sasa ni umoja unaoneshwa?
Huy Bendtner auzwe tu sasa,magoli gani hayo anakosa....aaaaaaaaaaaaaaaargh
naona kasahau tulichokuwa tunamchukia adebayor.Huy Bendtner auzwe tu sasa,magoli gani hayo anakosa....aaaaaaaaaaaaaaaargh
Dah,noma kweli....Wamesawazisha jama