Game Over Arsenal 2 - Man City 1
What a game!
Well done boys
COYGs
Kama kawa kama dawa,tunazidi kuwatimulia vumbi wale wa mchangani (liver) na wale wa alhamis,the comedy.
Richard unafahamu wewe mambo ya Emirates .... ... ... Ding ... Dong .. ... ...COYG. Le Prof alikuwa na kazi moja kuwaambia vijana watulie maana walitegemea Alexis angecheza ... ... ..... ... safi sana kwa pics mkuu.
Mpira wakati mwingine ni akili tu na Ozil leo ameonyesha hilo.
Arsenal sasa hivi wamejifunza mengi kuhusu kulinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.
Jirani vibaya hivyo kuoambeana mabaya....
![]()
Mkwaju wa Theo huo hutauona popote pale bali uje Emirates Stadium .... .. .
![]()
![]()
Mkishinda mna mbwembwe, ngoja turubahi liletwe pande hizi. Anyways, nimemiss #WengerOUT