Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Mlikuwa na #Trophyless ikakata mnahamia kwenye EPL na tunachukua come to may
mtahamia UCL khe khe khe kheeeee
Hahaha endeleeni kuota kama bado mnahisi mtachukua EPL this season...!

kila atakae tia mbwembwe akumbushwe na msemo wa "mind the gap" maana hakuna namna tena
Hahaha endeleeni kuota kama bado mnahisi mtachukua EPL this season...!
Soton ni next victim,ukiona turubai nyumba hii basi ni la sherehe.
Sergio Aguero amesalimu amri na anatoka na sidhani kama alokuwa yupo fit kucheza.
Bony ameingia
Jirani nikikukuta unapambana na chatu hakika nitamsaidia chatu maana msimu huu nahisi ni wa neema na naomba turubai liwe kwako siku zote na liwe la msiba sio sherehe,naamini umenisamehe kwa kusema ukweli.
Hongereni watu wa mtaa huu kashengo ulinibania red wine yangu... Wacha 1 Elly79 McDonaldJr ,Jamani rubaman yupo wapi mwambieni nimemiss....
Ulikimbia ukasema usingizi....Tumewachapa
#Nosanchez
#Nocazorla
#Nowelubeck
#Nocoqelin
#NoProblem #NoProblem atAll
Karibu tena game ya Soton wikiendi hii we believe now we are unstoppable