Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ozil ni hatareeeeeeee.....inabidi neno assist moja ya synonyms zake iwe ku Ozil, mfano naomba uni Ozil buku, naomba uni Ozil hili swali
 
Timu zimerudi na Man City wamefanya mabadiliko na Rahem Sterling ameingia badala ya Fabian Delph

Mpira umeanza

Na ni kona kwa Arsenal
 
Hongereni sana Ongezeni mengine basi mjihakikishie ushindi......Man city kawa mdebwedo kwa timu kubwa
 
walcott_3532671b.jpg

Walcott akifunga goli la kwanza


giroud_3532679b.jpg

Giroud akifunga goli la pili.


giroud-goal_3532685b.jpg


Giroud akiserereka baada ya kufunga goli la pili huku pass master Ozil akiwa pembeni.
 
Kama Arsenal watakuwa serious kwenye final third hawa watachezea nyingi tu
 
Arsenal wanakosa goli na inakuwa kona.

Ni open game sasa timu zote zinacheza kwa malengo maalum.

Dakika inakwenda ya 61

Arsenal 2 - Man City 0
 
Sergio Aguero amesalimu amri na anatoka na sidhani kama alokuwa yupo fit kucheza.

Bony ameingia
 
Arsenal wamefanya mabadiliko Kieran Gibbs ameingia badala ya Joel Campbell
 
David Silva nae anatoka kwa upande wa Man City na Jesus Navas anaingia.

Dakika inakwenda ya 74
 
kama hadi sterling anafuga ndevu, city lazima wafungwe. Amekuwa kama kiroboto!!

Man City leo wanaonekana timu ya kawaida sana.

Hii timu ina wachezaji kama Sterling na Bruyne ambao peke yao wanagharimu kama 96 milions of pounds.

Na wana Yaya Toure anaepokea 200,000 kwa wiki.

Mesut Ozil anatpoka na Lex Oxlade Chamberlain anaingia.
 
Nilisema mwanzo Yaya Toure huwa anakuwa amejifanya amelala kwa muda.
 
Back
Top Bottom