Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,635
- 25,612
pamoja na mambo mazuri aliyofanya Mesut lakin Kolscieny alinifurahisha sana kumdhibiti Kun.
Kolscieny anaitwa boss.
pamoja na mambo mazuri aliyofanya Mesut lakin Kolscieny alinifurahisha sana kumdhibiti Kun.
Toka tulipochukua ubingwavwa epl last time kwa mara tatu tumekuwa karibu kabisa kuuchukua lkn inapofika Jan team unaiona its short of 2/3 Players wa kusaidia hilo litimie lkn Babu na Board wanakuwa wagumu wa kufungua pochi na kununua hao watu.
Kama kwa sasa we are short with atleast 2 again lkn january ikifika hadi dirisha linafungwa utamsikia babu players are hard to find.
Hadi lini wenzio wanaenda sokoni na wanatoka na mzigo iweje wewe huna macho!?
If we missout this time Babu has to go and Pep should be appointed to ride us into tittles.
COYG
Tumeongoza Ligi mpaka january mara moja katika miaka 11 iliyopita nayo ni Msimu wa 2007-2008
na tuliongoza mpaka February mpaka Eduardo alipovunjwa Mguu...ni season peke yake unayoweza sema "We were Close"
Msimu wa 2013-2014 by Christmass period tulikuwa hatuongozi league tena, maana By 25th Dec 2013 Liverpool walikuwa Top of the league
Na ukweli mwingine Sioni kama Arsenal walikuwa na Ambition za Kuchukua ubingwa for all those years ukiangalia Financial contraints walizokuwa nazo na kuuz Nyota ilikuwa ni lazima kuziba mianya ya Fedha walizokuwa wakilipia uwanja
Kuanzia season ya 2014-2015 ndo wakaanza kupigania ubingwa sema season iliyopita Chelsea walikuwa WAZURI sana na consistent sana
Hope we grab this time, belief iko kwa players,anger na after back to back FA cups now they aim EPL championship
We need players to take us there.
DM is needed as of we stand we are weak and light weight in the Mid
CF is needed an upgrade of OG if not Jan atleast during the Summer transfer.
CD for now is ok but Gaby needs game time Per and Kos are not gettin Younger. Per is 30 and so as Kos. Kos hasn't played in top level for long time as compared to Per so he stl have some legs to cover the grounds. Per is deteriorating he is becoming slow and slow ber his intelligence of reading the hame from the Back.
but we need a very strong DM cover for Fransic to do the dirty work on the other hand Flamini and Mikel will be leaving at the end of the campaign
If we get Calvalho from Porto For some Games He and Koku can play together and have the laxury of Carzola and Ozil play on attack supporting our attack
We can go 4231
The mid three should be Carzola Ozil and Sanches.
And if we want to dictate the peace game we can use Theo up front
Nahisi kama tutaongeza mchezaji January basi ni young talent au kwa mkopo kwani soko huwa ngumu kila timu inahodhi wachezaji kumaliza ligi. Kama tutasaini basi mipango iwe imeshaanza sasa
Koku before hisa last loan spell he was playing anywhere asked to play. He has played in the wings and has play as fullbacks too. He can play with Calvalho ne problems especialy when u play teams like Baywrn which have Rouben an Ribery to cut then short and hit them on Counter attack. We can paly Double DM
Wakuu wa Gunners enjoy x-mass and take care of your lives, families etc. If you happen to drive do not drink, don't overtake if you can't see in front. Sikukuu njema COYG ... ..... Ding ... .... Dong.