Bakary Sagna akiwa amesimamishwa kwenda mbele na Theo Walcott ambae akapata nafasi ya kuingia ndani ya eneo la hatari na kuachia shuti kali ambalo kipa Joe Hurt hakuwa na nafasi ya kuzuia.
Hii ni ajabu sana kuona Arsenal wanawaruhusu Man City kumiliki sehemu kubwa ya mpira huku wao Arsenal wakiweza kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kufunga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.