Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

matokeo ya game yetu na zagreb ndo yataamua hatma yetu...

Cycle ya Arsenal Champions league inajulikana miaka yote,mkipita stage hii next stage mnakutana na Bayern/Barca/Madrid safari inafika mwisho
 
Cycle ya Arsenal Champions league inajulikana miaka yote,mkipita stage hii next stage mnakutana na Bayern/Barca/Madrid safari inafika mwisho

ngoja tupite halafu utajua kuwa hiyo ndo cycle yetu au la...pia usipende kukariri miaka yote haifanani
 
Duh nyie jamaa mna roho ngumu, bado tu mna matumaini??

Nafasi mbona bado ipo sana! Point sita tutazipata, tatizo ni kwamba buyern wafanye yao dhidi ya olympiakos! Sisi kwao tunaenda piga kama kawa, we have bee here soo many times before, and we passed the test, hakutakuwa na tofauti msimu huu.
 
maafa ya majeruhi bado yanaendelea kuindama Gunners na hii imekuwa kawaida karibia kila msimu pale mechi muhimu zinapowadi na zinzoitaji matokeo muhimu ndipo wachezaji muhimu huongezeke katika wodi muhimu pale Arsenal FC.
There is something need to be done.
Conquline for more than two months..
Opsss..
 
sasa kama hujakariri, yan kwa jinsi unavyoona ni key players wanaanza kuumia wakati sisi tunaona wanaanza kurudi....

Nani aliyerudi? Coquilein ni mchezaji muhimu sana na ndio kaumia miezi 2,Hii December timu huwa zinacheza game 3 ndani ya week moja.Nani atacheza kama DM ?
 
Nani aliyerudi? Coquilein ni mchezaji muhimu sana na ndio kaumia miezi 2,Hii December timu huwa zinacheza game 3 ndani ya week moja.Nani atacheza kama DM ?

yes coq is important but he is not irreplaceable as ramsey can play there, wilshere can play there, flamin can play there and chambers can play there too...
 
Arsenal leo inajaribu kushinda mechi muhimu kati yake na Dinamo Zagreb.

Kikosi cha Atrsenal

Kipa ni Cech, Beki wa kulia Hector Bellerin, mabeki wa kati Laurent Koscielny na Per Mertesacker, Beki wa kushoto Nacho Monreal, namba 6 Flamini, namba 8 Cazorla, namba 7 Campbell, namba 10 ni Ozil, namba 11 Alexis na namba 9 ni Olivier Giroud.
 
Ozil akichoka ku assist anafunga huyu jamaa huyu na pasi zake za Dhl
 
Nani aliyerudi? Coquilein ni mchezaji muhimu sana na ndio kaumia miezi 2,Hii December timu huwa zinacheza game 3 ndani ya week moja.Nani atacheza kama DM ?

Karudi Ramsey, The Ox jmosi, na wk inayofuata Walcott!
Ila Coqulin ndo tutammiss sana maana wa kumsub wote sio wazuri sana! Ila wapo sio kwamba hawapo kabisa, ni kwamba alitakiwa awepo kuweza kufanya rotation na wenzake, si unajua ratiba kati ya tarehe 20 dec na mpaka jan mwanzo!
Kuna Flamini, Chambers, Ramsey wa kucheza hapo!
 
Nilitegemea chereko chereko humu baada ya ushindi wa jana mbona kuko kimya?? Anyway nimepita kuwapa hongera!!!
 
Back
Top Bottom