Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Naona mnajitutumua kwa picha...weka picha za mtanange wote bana...
Kwenye jukwaa letu tunajidai na picha, wewe kama unataka weka tu, tupo kwenye marathon .... ... hapa, nachikia nyie leo mmekoswakoswa .... .. nafahamu ni uchungu wa zile goli tatu mtungi tulizowakung'uta ndio zinakuuma. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee