Nilitegemea chereko chereko humu baada ya ushindi wa jana mbona kuko kimya?? Anyway nimepita kuwapa hongera!!!
Wanasikitika sana maana watarudi Europa.......
Karudi Ramsey, The Ox jmosi, na wk inayofuata Walcott!
Ila Coqulin ndo tutammiss sana maana wa kumsub wote sio wazuri sana! Ila wapo sio kwamba hawapo kabisa, ni kwamba alitakiwa awepo kuweza kufanya rotation na wenzake, si unajua ratiba kati ya tarehe 20 dec na mpaka jan mwanzo!
Kuna Flamini, Chambers, Ramsey wa kucheza hapo!
yees we can successes at any cost,viva the gunnerz!
andika tu kiswahili,achana na utumwa wa kifkra kudhan kuongea lugha ya wenye makalio meupe ni maendeleo na ustaarab,ndo umeandka nini hapo!
Wakuu tunatakiwa kushinda mechi ya mwisho tarehe 9 December kwa ushindi wa zaidi ya magoli mawili (ie 3-0; 3-1; 4-2 etc) ili tuingia kwenye knock out stages ... ...... Prof knows ... .. Ding ... Dong.
Nafahamu vimburukenge vimeanza kusema ati Munchen wanatuchubiri ...... ...... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee e hayo ni maombi matakatifu yaani tutakumbana nao kwenye fainali panapo majaliwa.....COYG
To qualify:
Gunners must beat Olympiacos in Greece on the final match day by more than two goals - or by one goal if they score at least four.
Endeleeni kujifaliji teeeh teeeh
yuko wapi krystian bielik? kwa nn asicheze namba sita azibe pengo la coqlien