conc acid
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 728
- 439
yuko wapi krystian bielik? kwa nn asicheze namba sita azibe pengo la coqlien
Huyu Bielik alicheza game yetu na Sheffield Wednesday kwenye COC, alipwaya sana. Tuliaga mashindano kwa kupigwa tatu
yuko wapi krystian bielik? kwa nn asicheze namba sita azibe pengo la coqlien
Huyu Bielik alicheza game yetu na Sheffield Wednesday kwenye COC, alipwaya sana. Tuliaga mashindano kwa kupigwa tatu
Hupo sahihi mkuu, dogo aliingia sub Dakota ya 70+ tulishapigwa tayari......kiungo kiliimarika baada ya yeye kuingia....
wenger asipoondoka tutaendelea kushika nafas ya 4 milele, no world classic striker,no DM unategemea ubingwa gunners tutasubir sana mpaka huyu mze aondoke,ni maoni yangu binafsi ukubali ukatae ukweli ndio huo