Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game ishakuwa rahisi hii,inabidi tuongeze magoli tu,washainamia kibra hawa mbwehA

Mwenzangu sijui unaangalia game gani. Hili game bado bichi sana, jamaa ni wagumu na wanacheza physical. Wanaweza kupata goli kipindi cha pili, naomba tuwagonge la pili kabla hawajasawazisha. Ukiangalia wanapiga long/high balls sana hasa upande wa Bellerin ndio wanaona kuna nafasi. Mertesacker kama tunavyomjua yupo slow kumsaidia Bellerin aliye na mwili mdogo compare wachezaji wa kushoto wa Burnley. Kila wanapocheza high balls left side yao utaona kuna minjemba kama miwili vs Bellerin, afu Mertesacker anakuwa slow ku cover kutoa assist kwa Bellerin. Tuombe Mungu tuwaondoe. COYG!!!!
 
Jamaa wanacheza ule mpira wabongo wanasema ni jihad. Hata tukiwafunga goli la pili haitawanyamazisha, labda tuwafunge magoli matatu kabla hawajapata goli ndio watatulia. Tunapoteza mipira mingi final third kuliko kawaida yetu.
 
Unaona wanavyomdabo team Bellerin afu kwa mipira ya juu? Ramsey inabidi awe anashuka kumpa support Bellerin. Tukiwapiga goli la pili muda huu inaweza kutupa ahueni, jamaa wapo fit leo.
 
Ina maana nipo pekee humu? wapi BAKI,utafiti ? Najua wasagasumu wamenyuti wanasubiri Burnley wasawazishe. COYG!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ile ni Man City na hii ni Chelsea Mkuu!

Tena Mkuu usifikiri kwamba ni utani Mkuu!

Haiwezekani na haitowezekana bado michezo 7 ligi iishe na tuna mchezo mmoja mkononi alafu tunaongoza kwa tofauti ya points 7 mpk 8 dhidi ya washindani wetu waliochomoza hivi karibuni alafu eti tushindwe kuchukua kombe!? Yani ata km kwa kufia uwanjani wachezaji watakufa safari! Alafu washindani wetu ndio tunakutana na nyie hivi karibuni alafu tuwaache kweli? Huu utakua ni wehu kabisa.
Walishindwa wachezaji wa loserfool kufa uwanjani last season sasa hii itakuwa kwenu
 
Burnley walicheza footbasketball leo. Asilimia kubwa wamecheza mipira ya juu kama Stoke city, Bolton Wanderers walivyokuwa wanafanya.
 
3 points kibindoni. Imebaki City kuwapumzisha wale #mburukenge wa mtaa wa saba kesho

Hongereni sana ,na poleni mmepelekeshwaa haswaa mpaka nikawa nakuonea huruma unavyocomment hapa nikasema nijikalie kimya nisiue watu humu,kikubwa ni point 3 muhimu. Big up !!!!

Cc utafiti BAK Wacha1 Eli79
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom