Hawajiamini hawa....ngoja wapigwe tu Leo.
Nhamala;
Hakuna timu inayoingia uwanjani kwenye English premier League ikiwa inajiamini.
League hii siyo sawa na La Liga, kwa maana hiyo ndiyo maana inapendwa zaidi ulimwenguni.
Kujiamini na kufahamu utashinda kabla ya mchezo ni upumbavu.
Hukujifunza kwenye match yako na Bradford!
Wakuu BAADAE!!!
Ndukiiiiiii
This is a tough game. Good to see we are 1 goal up early
Umepotea sn Mkuu! Umekuja baada ya kuona timu yako iko nafasi ya pili!??
Mhala ahene ngalo?