Umetoka kwenye TV?
At least tumeweka distance nzuri kati yetu na Wana-Manchester wawili. Kesho wakitoka draw wenyewe kwa wenyewe itakuwa mwake sana
At least tumeweka distance nzuri kati yetu na Wana-Manchester wawili. Kesho wakitoka draw wenyewe kwa wenyewe itakuwa mwake sana
Tutabirie basi 24.05 itakuwaje tatu bora mkuu...
Angalia TABLE inavyosema. Kesho mtakuwa nafasi ya kubeba kombe letu la 4 na msipoangalia mnaweza kuondoka mikono mitupu
Endelea kurukaruka but kumbuka una point zangu 3
exactly,mshindi wa kwanza chelsea,arsenal wa pili,man u na man city watagombania nne na tatu.Mkuu Eli79 mshindi wa kwanza ni kati ya sisi au chelsea. Man city na united ni 3 na 4 so usiwe na wasiwasi mkuu